@teresiakibona: Kuna akina mama ambao kila siku wanaamka wakiwa na majukumu mengi moyoni: kulea watoto, kutafuta mahitaji yao, kuwasomesha, kuwafundisha maadili na wakati mwingine kuvumilia maneno ya watu. Mama mwingine anaweza kucheka mbele za watu, lakini ndani yake analia kwa sababu anajiuliza: “Nitawezaje kuwalea watoto wangu mpaka mwisho?” Leo nataka kumwambia mama huyo: Usikate tamaa! Wewe si dhaifu. Umebeba jukumu kubwa, lakini hauko peke yako. Mungu anaona kila machozi, kila juhudi na kila unachofanya kwa ajili ya watoto wako.

Huduma ya Matumain Mapya
Huduma ya Matumain Mapya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 15:11:57 GMT
11616
1203
127
15

Music

Download

Comments

mamsonje22
user7558022915595 :
Asante mom
2026-08-29 12:21:01
0
user3955341503250
princess judati :
Asante mamaangu💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
2026-08-27 20:24:37
4
user414379068
Minnah :
hasira ndo kitu kinaniumiza mno na sijui nifanyeje
2026-08-29 10:00:00
1
user7660936814795
mey jey🛍🛍 :
nilishalipigaa dada ndio maana napambanaa ajili akee mwananguu😂😂
2026-08-29 04:21:37
2
modestersimon399
modestersimon399 :
Amen mama
2026-08-29 14:21:41
0
user3700531530201
user3700531530201 :
mim ni meshakubali nalo mama mungu ndoanajuw sababu nini
2026-08-29 05:24:35
1
hjohnson2396
user5234362688161 :
Amina Mungu akubariki kwa hilo
2026-08-29 14:32:47
0
user8686306140988
user8686306140988 :
Asante mama angu ,nakupenda pia naomb namb yako
2026-08-29 14:16:09
0
ray.store.tz
@Ray ~Store ~tz :
Mimi nime kubali mama nime zoea tu sema kuna muda ina uma sana baba mtoto wangu ana roho mbaya sana jamani huwa na waza nime mkose nini ana shindwa hata kutoa mahitaji ya mtoto wangu 😢
2026-08-29 13:53:38
1
mariamm10222
Mariam,❤️ :
mama inauma mnoooo😭😭
2026-08-29 14:20:28
0
inmylifem1
Nana lee :
ongea na sisi tuliochika na tumekata tamaa ya kupata wenza tena sababu tushazaa tumekuwa tunajitenga tinajiona hatufai tena
2026-08-28 09:31:55
3
kidotypartson
Kidoty Partson :
Amen Mama Mtumishi ❤️
2026-08-27 16:20:17
0
dianakampire
user5779861462808 :
mimi nimetelekezwa na mimba mamayangu😭😭
2026-08-29 03:13:50
0
mavik624
mavik :
amina sana ♥️♥️♥️
2026-08-27 18:47:11
0
keysa.oscar5
Keysa Oscar :
Ahsant na Ahsant sana mama kwa kunitia moyo🙏
2026-08-28 15:55:01
1
fainesielifaz
Fainesi Elifaz :
Ameen
2026-08-27 23:57:31
1
tysapius23collection
tysapius23collection :
Amina uzao wangu umebarikiwaa
2026-08-27 18:04:40
1
22angielee
AngieLee 🥀🥀 :
Amina sana mama mtumishi MUNGU atutunzie wewe. Neno lako ni faraja kwa watu wengi sana ❤️❤️
2026-08-27 15:20:13
1
nanyonga.adolophin
Nanyonga Adolophin :
Ameen🙏🙏😍😍
2026-08-29 14:37:24
0
user8140621663987
angel Emmanuel :
amena
2026-08-29 14:24:36
0
christelle.martha4
Christelle Martha :
Sijawahi kusema neno mbaya uwa nakubali kila kitu afu namupenda mwanangu sana 🙏🙏🙏
2026-08-29 14:13:37
0
user161766180635
user161766180635laidy jay j :
Ameni
2026-08-29 13:44:48
0
adelinavalence
adelinavalence :
barikiwa sn na ujumbe huuu
2026-08-29 13:38:45
0
mamj601
mwajumahaji702 :
mimi ananitumia na video za hela zake but hanipi hata mia🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asante mungu
2026-08-29 13:26:20
0
gavanna402
GAVANNA OSWARD :
Amina Mtumishi
2026-08-27 15:21:59
0
To see more videos from user @teresiakibona, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About