Kaz ya Dini ni ku promote peace ulimwenguni. Lakin siasa zipo na zinaharibu aman ya dunia. kwahyo polopole Kama yupo tuonyesheni tumuone..
2026-08-28 02:35:09
3
NEEMA WILLIAM :
nikweli yupo nimeonyeshwa ktk ndoto
2026-08-28 10:16:51
1
mtauli jr :
unataka kusema juzi jukwaa la maulidi ilikuwa ni kikao cha siasa?
unataka kusema mahubiri kwenye makanisa ikitajwa serikali ni mikutano ya siasa?
Je waamini wa hizi dini hawapaswi kuzungumzia siasa?
Dini na siasa havitengani maana hata mifumo ya siasa zote duniani zimeanzishwa ndani ya dini tunazoamini.
Uhuru na umoja.
2026-08-28 06:56:06
4
thobiasmbuligwe :
polepole
2026-08-28 08:48:09
1
THE CHOOSEN :
MIMI SIAMINI
2026-08-28 02:48:55
0
akko :
mhhh
2026-08-28 03:26:28
1
Majays :
Amen
2026-08-28 07:29:58
1
user7907421881251 :
mnguamulinde
2026-08-28 02:17:02
1
Akito Riki❤️💋 :
ikawe kheri kwa jina la yesu
2026-08-27 23:13:15
2
vinny driver :
na ikaweeee☺️☺️
2026-08-28 07:37:14
1
shakilu irakoze :
ikawe heli Jehovah nakuomba 🤲🤲🤲
2026-08-28 03:00:30
1
it's_lavety :
mungu akamlinde
2026-08-27 21:51:29
1
NYANJUU OSBON KAPOLA❤ :
alisha isha
2026-08-27 22:01:57
1
MJUNI MUHAYA IGOMBE :
ni kweli
2026-08-27 18:07:53
1
violetmmasi :
Mungu Amlinde na kutetea watanzania
2026-08-27 21:57:52
0
timotheozuberi1 :
nkisikia polepole machoz yana nitoka Mungu amulinde na neno lake litimie juu yake
2026-08-28 12:57:42
0
user6949413087665 :
mambo mengine musiogope yanapita
2026-08-28 09:50:00
0
shakillah_zakia :
ya lini hii?
2026-08-28 15:26:54
0
Alfa Love Foundation. :
Na mdude jee
2026-08-28 10:31:18
1
anna :
Naiwe hinyo mtumishi
2026-08-28 08:22:26
1
To see more videos from user @morekaiministries, please go to the Tikwm
homepage.