@tangafinest2: ila vitoto vya tanga

TANGA finest 🌍
TANGA finest 🌍
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 15:56:50 GMT
78434
3036
341
609

Music

Download

Comments

mamaah400
mamaah😇 :
They dont know its their best day😂😁
2026-08-29 18:07:36
0
hamisa.abdallah16
@mmy😍❤️ :
😂😂😂 jaman anyway dapipi nishushe
2026-08-29 13:55:22
0
hamy_raj
verifiedBabe_🔥 :
ndy wanakua ma chef cooker
2026-08-28 10:45:46
0
misshawainana
Da cheu🦋🦋 :
tuliokua tunapenda huu mchezo tujuane😂😂😂
2026-08-27 20:59:34
561
pinkydenis61
pinky :
upcoming chefs💕
2026-08-28 05:15:23
0
vivany.tajri
vivany tajri :
Inabidi muonjaji wa taifa afike uko 😅😅
2026-08-28 06:26:42
132
angelkaelis1
kaelis❤️ :
mtumeeeeeeeeeeeee🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-28 14:14:34
1
adelove_mdolali
chioma 🦋 💎 :
tulikua tunaiba sana vitu sokoni na michele dukani😂😂 ili tukapike watoto 2004 tujuane
2026-08-28 10:59:26
81
chaupole106
Zaylove public figure 🫦 :
watoto 2000 awaelewi aya mambo😂
2026-08-28 06:45:19
7
swaryhash4
$waryhash❤️🦋 :
usinikumbushe kazi yangu ilikuwa naiba mafuta kwetu tunakaanga viandazi woiii ni vitam😂 ukitoka hapo umeungua mguu kukanyaga moto
2026-08-28 09:44:15
38
user38609855439760
BizzyDaughter❤️ :
nqkumbuka tulikuwa tunapeana majukumu,wakuleta unga,mchele,mqfuta,chumvi aisee🤣🤣🤣🤣🤣wa kupulizq moto
2026-08-28 05:49:09
25
pariah_collection
Sarah Saqware :
Huyo mtt anaesonga ugal na kijiko kanikumbusha mbal jmn, kipind nd naanza maisha ya geto nilivohamia uck w kwanza nlisahau kununua mwiko af mida ilkuw imeshaenda Kama sa5 hivi uck njaa ikaanza kuuma kwkuw nlishanunua baadh y vitu nkasema nisonge ugal ikabidi nitumie kijiko Daah😁😁 na nlikula fresh2
2026-08-28 10:04:14
13
officiallishersmom
[email protected] :
Hakuna ambacho sijafanya kwenye ile michezo 40😂😂
2026-08-27 20:29:30
6
sifah608
Sifah 🇹🇿🇲🇶🇦🇪👐❤️ :
Niliiba sana vitu ndan nikirud mama ananifinya lkn hata siachi
2026-08-28 13:05:49
11
shamy.one
shamy one :
nimewapenda niwasafi mno apo nikula kiukweli kweli😁😂😂😂😂
2026-08-28 19:05:31
1
nass_vibes
nass🌹🌹 :
ndy maan watu watanga tunajua kupika coz tunaanzia huku kwakweli
2026-08-29 07:09:50
0
fetty7866
🌸🌸Fetty🧁 :
tanga tunapika jaman tangu wadogo tukikua tumekubuh
2026-08-28 20:20:28
0
nyani_mzee85
Sasha :
Hii ndo michezo ya kitoto sasa 😍sio kuchezea Smart phone 📱
2026-08-28 19:19:42
2
unyhj
Rosaa :
Ila haya 😂😂😂
2026-08-28 18:21:56
3
happygiven.komba
happygiven Komba :
madangi ya moto hayo
2026-08-28 03:51:20
3
mwajumammamba
mwajuma mmamba :
watu wewe watu woyoi😽
2026-08-27 19:19:51
3
uzerly01
Uzerly01 😍 :
Mungu awabariki, wanainjoi utoto wao hadi raha
2026-08-28 15:37:30
1
user582795295867
bala :
raha ya Tanga ni mbilimbi☺️🤣
2026-08-28 06:45:24
1
To see more videos from user @tangafinest2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About