@livestockconnecttz: Hii tabia huitwa self-suckling, ambapo ng’ombe hunyonya maziwa kutoka kwenye kiwele chake mwenyewe. Inaweza kusababishwa na tabia iliyojengeka, msongo wa mawazo au usimamizi usio sahihi. Ikiwa itaendelea, inaweza kusababisha upotevu wa maziwa na kuongeza hatari ya matatizo ya kiwele. #Ngombe #NgombeAnajinyonya #SelfSuckling #SelfSucklingCow #CattleFarming
Livestock Connect Tanzania
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 16:21:30 GMT
Music
Download
Comments
سلتاب سلايمان🏝️ :
last born huyo
2026-08-27 17:46:57
0
muhamed amic joka@mkuranga :
raa jipe mwenyewe
2026-08-27 17:10:40
4
@lamase4 :
wahenga hawaamini mganga anajiganga huku😂😂😂😂😂😂
2026-08-27 17:54:06
1
mejah ayoo :
anakula achokula saf
2026-08-27 19:02:38
0
officalJoshkidd :
Amna ngombe hapa🤣🤣🤣
2026-08-27 17:02:43
0
Rama Tz Omary :
ukisikia SHIMBA EKALYAGA MAGUZU KAYO ndo hii
2026-08-27 18:53:50
1
Being_Me😇 :
Hii sasa ndo inaitwa kujionjaa😅😅
2026-08-27 21:27:19
1
marioodanda360°√ :
hapewi madin ya kutosha huyo
2026-08-28 03:50:52
0
user7990467743259 neema syembe :
ndio mim nimemuuza mwaka huu
2026-08-27 17:45:41
0
user7653679356711 :
kesi ishakua ngumu
2026-08-27 16:30:34
0
Abdulhrazaq sonya :
huyu atakua ameonja sumu
2026-08-27 18:07:24
0
ezra japhet :
kinyozi leo kajinyoa
2026-08-28 08:47:41
0
SHIRRA KIDD🤫🤫 :
iyo kwa kitaalam tunaita " self service '
2026-08-27 18:37:36
0
ibn muhammad :
Hii ndo raha jipe mwenyew😅
2026-08-28 06:42:45
0
user19188071201337 :
kwa kitaalam inaitwa RAHA JIPE MWENYEWE
2026-08-27 20:49:18
0
Ndetenga :
wale wa kilimo mtaelewa tyu 😂😂😂 hii ndio Ile tunasemaga crop rotation 🤣🤣
2026-08-27 18:51:05
0
Dipens :
hhehh makubwa hyaa ndioo kwanza naona haa ilikuake sasa😂😂
2026-08-27 16:53:44
0
vichwa.vya.arusha :
uyo ana njaa inaumaah😁😁
2026-08-27 19:05:35
0
GONGO BOY :
kila mtu atakula kwa jasho lake
2026-08-27 18:34:34
0
Baraka Chiro :
mbuzi wa omary kala shamba la omary vp Kuna kesi hapoooo?😁😁😁😁
2026-08-27 17:37:52
0
sweetie vecious :
hapo maziwa yamemuuma na mtoto yupo mbali ndo maana
2026-08-28 09:11:29
0
Trulia ramadhan :
ukiskia Raha hope mwenyew ndio hii saa😂😂😂😂
2026-08-28 09:24:09
1
mrs.john :
kaaaaaa
2026-08-27 16:33:53
1
@BLAX BM🍀🍀🍀 :
Kaz ishakuwa ngumu
2026-08-27 17:46:13
0
malifedha :
mwaka warombaya huu
2026-08-27 16:35:55
0
To see more videos from user @livestockconnecttz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.