jawabu tunalo,twawasomea hadith ya mtume inayosema mwenye kuanzinsha mwenendo mzuri atacama ujra ..............
2026-08-27 17:36:39
1
kenge :
kwani mtu muhammad S..W alikuwa zehebu gani sikwaubaya
2026-08-28 19:11:38
0
Fahadi Hamisi :
kweli alibananishwa
2026-08-27 18:59:42
2
Muhammad khamis :
ماشاءالله شكرا لك يا حبيب
2026-08-28 05:00:16
0
Said Matelephoney :
kabisa
2026-08-28 01:45:47
0
spea za bajaji :
ndio mana dini ya allah ilisambazwa na wasufi na sio hawa wanaojiita salafi
2026-08-28 14:24:17
0
Omar Suleiman :
HUYU SHEE HUMEID YUKO MSIKITI GANI?
2026-08-28 15:07:12
0
yuzy chand :
kazi anayoifanya shekh mazinge hakuna mpuuzi ata mmoja wa ki salafi anaeweza kuifanya.tafuteni watu muwaingize kwenye dini sio muwafarakanishe waislaam
2026-08-28 09:10:48
0
HEMED :
Zee la matusi
2026-08-28 16:51:57
0
Abuusalman :
subutu hawez jibu
2026-08-28 16:16:58
0
Omar Ali :
kila mtu ni ghuraf kwako
2026-08-28 11:51:55
0
yusuf :
ghurafi ni nini
2026-08-28 16:35:51
1
Yahya Ahmed :
makhurafi mko wapi mwasikia lakini haya jibuni
2026-08-28 02:03:09
0
M :
Kweli mumeishiwa Mutalinganishaje suala hili na kirsmasi, na nani aliekwambie kwamba Hii ni maulid ni ibada , halafu vp unawaita waislamu Makhurafi je hili umeruhusiwa kuwaita watu majina mabaya Someni mujuwe Roho ya uislamu ni nini!!?
2026-08-28 05:37:15
0
Abuu jandal :
🥰🥰🥰
2026-08-27 17:09:45
1
Yusuph Abdallah Yusuph :
😁😁😁
2026-08-28 20:45:01
0
To see more videos from user @alakhyabuhashim, please go to the Tikwm
homepage.