walotoboa hawawezi kurudi na dege la msaada kikubwa tuwaombee walobaki
2026-08-27 17:27:17
26
Ben🏍️💯 :
daah noma sana
2026-08-27 16:42:50
4
Unlimited money :
kumbe South inachakaza watu iv 😳😳😳😳 mini siendi
2026-08-27 17:19:51
10
yusual eleven :
very sad
2026-08-27 16:49:28
1
shabani :
nachojua mm mungu kawabariki nsu zetu wamerudi kwao kupata sio lazima kikubwa uzima na kufia nyumbani ni jambo bora kokliko kitu chochote
2026-08-27 20:02:16
2
mjanja wizzy :
SEMA KILAKITU SI UNACHO ✌️
2026-08-27 18:19:44
2
lajabu Mkude :
wametuludishia misiba tu akuna nguvu yataifa apo
2026-08-27 18:03:32
2
MUDI MSONDE👑👑 :
sahihi kk
2026-08-27 18:15:58
2
Juma Lugendo :
sometimes unaongea point mkali ila apo umezingua izo dhalau ss
2026-08-27 17:01:49
6
Muddy Rasta :
sio lazima wote tupate
2026-08-27 18:04:39
1
Operating system :
Naona kuna mtu karudi na Shangazi kaja sijui mjomba kaja hiyo😁😁🙌
2026-08-27 18:31:26
2
youngson132 :
Sio poa mwanangu mda waliopoteza nihuzuni🤔🤔🙌
2026-08-27 17:13:16
2
Hafidh Amir :
ss si wamerudishwa Kwa msaada ndoman awawez kugomea camera
2026-08-27 18:20:52
1
Tind20 :
waliorud wengi hawana maisha walipotoka ,
2026-08-27 18:08:35
1
Yassin Ibrahim :
sema kweli
2026-08-27 17:19:27
1
dijjaa :
Bora mtu aoneshe uhalisia kuliko kuficha, vijana watazidi kwenda kuteseka Bora mtu ujue huko Amna Cha ajabu Bora ukienda ujipange usiende Kwa kuzamia tu
2026-08-27 18:43:34
1
Jeremy De♧Jeremiah :
Wataftaji, South Africa ☺️☺️
2026-08-27 17:41:45
1
MASANYENGE 66 :
sa mbona mnafanana 😂
2026-08-27 18:28:14
1
Anz@(Men) :
mm hata watoto ningeacha kule
2026-08-27 20:33:52
0
Sharifu Ramadhani :
Hawa kwenye Deni la Taifa wanatakiwa walipe zaidi
2026-08-27 19:56:12
0
Agness Mwaka :
mbna mnafanana atakua ndugu yako uyo
2026-08-27 20:37:22
0
Brayan mageba :
naona mnachamba umbea
2026-08-27 19:58:01
0
To see more videos from user @zombii68, please go to the Tikwm
homepage.