😂😂mbona unarisk kaa mbali na nyumba inataka kuanguka
2026-08-28 22:14:44
2
️ :
infact hama karibu na hiyo nyumba kabisa
2026-08-29 02:17:53
1
Manuel Snr2 :
2026-08-29 06:42:22
0
Eman :
😂😂😂😂 iyo comeback bro asione
2026-08-29 07:25:45
0
@favoured Isaac6 :
eeeiii
wueh 🤌
2026-08-28 11:26:42
1
@thedoyen135 :
comeback ni mwejeje
2026-08-28 07:48:18
0
Fearless SOUL :
mbona unapita karibu na nyumba man😂
2026-08-28 14:16:38
1
Gijoe@254 :
nani alikupea kazi ya kuchunga hiyo nyumba🤣😂
2026-08-28 18:46:09
1
Electrician. :
sitaki kesi ya umeangukiwa na nyumba yangu mimi shauriyako😂😂😂😂😂🚶➡️
2026-08-29 06:14:28
0
user3546699608672 :
iii ni ya wakamba
2026-08-29 10:26:32
0
junglemafia1 :
Yeye ameenda kufanya nini karibu na Nyumba inaanguka anataka imuangukie umlipe ama mwambie Yesu alirudi kututengenzea kikao mpya uko juu binguni .... Hapa duniani sisi ni Wageni tu 🤣🤣🤣🤣