Bora kufa masikini kuliko kumiliki pesa haramu zisizo za halali
mimi namtegemea Mungu ndo maamuzi niliyo yachagua atanipa kwa wakati wangu yeye ni mwaminifu hawezi kunisahau
2026-08-27 19:15:46
29
ShaloMabuguluni :
hahahaha nom sn
2026-08-27 20:02:04
0
mr darubini og :
Nani zaidi ya Mungu wale tunao mwamini Mungu pekee Bwana yesu asifiwe
2026-08-27 19:50:50
15
Denis :
Unatapeli ukiwa wapi dada
2026-08-27 19:54:39
5
richardjohnson :
Maamzi au maamuzi
2026-08-27 17:27:51
3
Paslain Akili kubwa :
kina Bakharesa wangeonesha pesa zao cjui tungekuwaje
2026-08-27 18:20:33
7
Niko Mgata :
mganga waukweli huwa hajisubui pole mm najuwa 🙏🙏🙏🙏
2026-08-27 19:34:59
4
Aneth aneth Abdalla :
naomba nikuoshee vyombo dadangu☺️☺️☺️
2026-08-27 19:03:06
0
Eli 🤟🤟💯 :
dt kulwa unapatikana wap
2026-08-27 17:17:51
2
freank :
2026-08-27 22:31:32
0
khanisia :
kweli wewe nimsukuma
2026-08-27 18:58:45
1
BETHINA PIUS NDULU :
mali na kila ki2 zipo kwa mungu bora nife masikin ila nikalisi ufalme wa mungu
2026-08-27 19:42:57
1
V A D O H :
Watu wana jiamulia mambo 😂😂😂skuizi aya ndagu tena!
2026-08-27 18:05:32
1
lucy cute :
ukowap
2026-08-27 20:21:31
0
Ahmed Abdul aziz :
maamzi ndio nn
2026-08-27 20:38:19
0
Africrowd :
Atufanyi maamuzi natuna hesabu ndugu mganga
2026-08-27 20:29:38
0
Hussein :
kichwachenge ndie habainishe kwamba pesa inatakiwa ipatikane kaktika barabaragani jamani munatakiwa muwasikilize watuwamaana siowashamba wasiobainisha barabara ambayo inatakiwa kutoapesa
2026-08-27 20:24:50
0
Samson Mathayo :
tufanye je ilituzipate hizo
2026-08-27 17:39:03
0
niffer💝 :
in God 🙏..........
2026-08-27 20:16:17
0
shamim♥️♥️ :
kusema ukweli kwanza mm sipendi kuheshimiwa mtu anichukulie anavyotaka😏,wakat wa Mungu utafika
2026-08-27 20:24:43
0
Mussa Moingeti :
mm naulisa ndago nn
2026-08-27 22:44:32
0
Explore Tanzania 🇹🇿 :
Mungu nashetani wote kweli wanauwezo wakutoa Milki nautajili Dada But Shetani utajili wake ni very temporary!!yaani niwamudaa tuu ,namwisho wake sio mwema.But Mapenzi yamungu yakitimia ,hakika anatoa mali zakidumu vizazi navizazi.
2026-08-27 20:17:22
0
prince essifakati :
kama pesa inazuia kifo ntaieshim nakama pesa inaua mungu ndo kila kitu
2026-08-27 20:16:47
0
shukrani 912🇴🇲 🇹🇿 :
wengine atutaki kueshimika😏
2026-08-27 20:18:27
0
To see more videos from user @doctorkulwa, please go to the Tikwm
homepage.