@blaxstore175_hq: Fanya hivi ili status zako ziwe na quality na sio kuonyesha chenga chenga mzawa CC @blaxstore175_ @blaxstore175_backup #whatsapp #whatsappstatus #blaxstore175 #tanzania #phone
Nifundixhe namna ya kufuta accounts ambazo nilikuwa nazitumia zamani kabisa facebook pamoja na instagram ambazo pasword zake sizifahamu wala email zake sizifahamu yaani nilikuwa napenda kubadilixha xana cm hivyo bac kila cm niliyokuw naitumia nilikuwa natumia accounts tofaut kw upande wa ig na fb ko mpaka sasa najikuta nina mrundikano wa accounts nying zenye jina moja tu
2026-08-28 15:40:46
0
FRANK83 TZ :
na tik tok mkuu
2026-09-05 22:11:04
0
Sub_Zero :
Ujinga wa hii pure status ni mmoja tu,inaweka watermark yake pale chini "pure starus" 🙌🙌🙌
2026-08-28 06:19:57
0
To see more videos from user @blaxstore175_hq, please go to the Tikwm
homepage.