Hiyo sio busara,
Soma hii.
2 Wakorintho 6
14. Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15. Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16. Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
2026-08-28 17:26:48
4
MARAFIKI WA INJILI TANZANIA :
MTUMISHI UNAMAANISHA TUINGIE HADI MSIKITINI
2026-08-28 08:25:04
0
Mwl Elisha Cosmas :
uko sawa sana wachanga hawaelewi et nira unajua maana ua nira au mmekalilishwatu
2026-09-22 06:31:06
0
Emanuel Arone :
samahai mtumishi zaburi 1:1 imetuzuia. et
2026-08-28 06:55:51
0
Joseph John Dalali :
Shida Ya Waimbaji Wa Sasa Mnajifanya Mnajua Sana Neno Matokeo Yake Mnaharibu Badala Ya Kuimba.
Hapo ukisikiliza hata Biblia anakosea Maandiko Yake Lakini Hata Bila Ukomavu Sana Wa Kiroho Huwezi Kwenda Kila Sehemu Maana kuna Mazingira au Maeneo wewe Hupaswi kuwepo au Kushiriki.
Kuna Dini wanaabudu sanamu,Kuna Dini wanamtukuza mtu kama zumaridi,kuna Dini wanasali kifreemason,kuna Dini wanasali bila nguo,kuna Dini wanasali kwa ishara za freemason nakadhalika ...!! Tusidanganyike na hizi porojo Bali Tusikilize MIONGOZO wa Roho Mtakatifu.
2026-09-22 03:39:47
0
user2900739590671 :
Amina sana mtumishi wa Mungu hii niwa chache watakuelewa na waliokalili mstari mmoja tu ndio watasimama na huo
kama mnaona kakosea swali je uinjilist unabagua eneo? k utawaokoaje waliopotea? kama haubagui uwe na uhakika usiwaone wanaoabudu sehemu tofauti na dini yako niwadhambi sio kweli hapo kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake
2026-09-21 10:25:19
0
Mwl.Clemence Mtoo :
Kuna mtu alipinga swala la waimbaji wa injiri kuhubiri akidai si kila mtu ameitwa kuhubiri.sasa ndo naanza kumwelewa.
2026-09-03 17:11:54
0
Kelvin Mabanda :
Amna kitu hpo
2026-09-15 18:04:18
0
user2930672147621 Ubarikiwe ki :
Umemaliza kaka. Upendo ushaishaaa ni vita tuuu
2026-09-03 08:28:52
1
Marlay :
Hapana Hapana
2026-09-10 12:34:55
0
Jackson Ngoso :
fact bro Mungu akutunze
2026-09-05 04:25:26
0
Sweetcute_jewelry ❤ :
Kuna watu hawajamuelewa Mtumishi
2026-09-17 08:08:33
0
Bm photo Gifts :
Tuwafundishege watu vitu ambayo sisi wenyewe tunaviishi Tusiwe watu wakuwa bebesha mizigo mizito ambayo sisi wenyewe hatuwezi kuibeba
2026-09-16 18:31:24
0
Judy Jidenna Judy :
lakini si imeandikwa ya kwamba tusifungiwe Nira pamoja na wasio Amini???
2026-08-28 09:53:04
1
Food products :
napokea
2026-08-29 16:56:13
0
0796042050 :
sema tupone maana inafika wakati hatuelewi tuna tengenezewa mazingila ya kujitenga
2026-09-03 12:34:32
0
PASTOR THANKYOU ROJAS TZ :
dini hatali sana nikibooko wachawi dini?
2026-09-04 09:55:38
0
user2900739590671 :
wengi urokole umewapoteza sana hawajifunzi neno bali wanakalili mistari ndio wanakuja kusimama nayo
usimtukane mtumishi wa Mungu yuko sahihi dini haitakufikisha popote ila Yesu Kristo ndani yako