Mm sishauli haooooo viongozi kujiunga chadema maana haooo ni CCM watupu hata km wamefukuzwa uwanachama ila haooooo ni CCM watupu tokea wadogo na Uchadema haibuki tuuu Bali unaanza tokea ukiwa kijana Sasa Leo wakose kwa kwenda CHADEMA ikiwachukua yaleeee ya Lowasa na Yule aliyegombea uraisi 2005 ,,, baadae wakarudi CCM mm sisapoti
2026-08-27 20:02:47
13
batistertete :
inaitwaje hii ngoma
2026-08-28 07:58:33
2
Taifa La Mungu :
Jina la song mkuu
2026-08-28 09:51:30
2
Bless Masawe :
ahhahhahah atar kak
2026-08-28 20:13:15
2
kilulacho :
hatuna shida na mchezaji aliyeshindana na timu yake sisi atasimama namba ya nan sas
2026-08-28 07:16:32
2
patience boy🦧 :
najikuta na cheka tu ila ☝🏽☝🏽hiyo nyimbo nzuri 2030 elewa neno nyimbo
2026-08-28 10:56:38
7
Khamis Mpili :
asanteeeeeeeee timu Tanzania bara 💯
2026-08-28 17:16:11
1
machano :
wasanii kuwaimbiya wanasiasa hawo😏
2026-08-28 11:33:40
1
777 ISRAELI《A》MBARIKIWA 《IBR》 :
Itakuwa aman ndani ya MOYO wangu MUNGU atusaidie
2026-08-28 16:14:55
1
Ability offiall GPM :
Wamependeza Sana
2026-08-28 06:37:26
1
Yusuf 🙏🙏 :
utatu mtakatifu
2026-08-28 12:26:48
1
braytonnorobeth1 :
RIP ndugai Yani angekua yupo hai akaungana hapo KAZI ilikua kwisha
2026-08-28 17:10:15
2
user8339979502299 :
hii nimipango yamungu hakika Mungu anatupgania huu niutabili wa kweli, 🙏🙏🙏🙏❤️
2026-08-28 08:28:32
2
mpembafyoko :
Ikifikia huko andikeni tu kwa maandishi makubwa chadema kwisha. Kama waliopita
2026-08-28 06:50:00
2
magesa siro :
mm nilicheza Simba leo nipo yanga nakiwasha
2026-08-28 05:00:16
3
young shinetz :
safi sana
2026-08-27 21:21:24
1
To see more videos from user @tizebaboniphace, please go to the Tikwm
homepage.