@iycsigntv: Nuruvazi katuma ujumbe kwa serekali ya tanzania na ccm kutokana na makosa ya kisiana wanayo yafanya ndani ya nchi Muusika: Nuruvazi 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 27 August 2026 18:30:38 GMT
25700
893
171
36

Music

Download

Comments

user253363483639
user253363483639 :
We are fucking tired
2026-08-27 23:37:45
0
mr.roca123
Harmony :
Miaka 5 tu jmn imekuwa mingi? Sisi hapa tokea 64 mumetutawala na maisha yanaendelea😅
2026-08-27 20:06:28
26
user790152196752
user790152196752 :
zamu yetu wazanzibari kuwaongoza mbona Kuna Marais watanganyika wameongoza zanzibar lipi ĺa ajabu kwenu
2026-08-27 22:59:34
9
ishally706
ishally :
what is tondogoso bro? 😳😳😳
2026-08-28 07:21:38
0
ngaro540
sabri :
HONGERA MAMA TUHESHIMISHE WATANYOOKA AO
2026-08-28 04:02:09
16
barama681
domi🇹🇿🇨🇦 :
Leo hii
2026-08-28 05:53:15
0
hellen22299
Hellen :
Very TRUE
2026-08-28 03:38:57
0
chanyoka1
chanyoka Tz :
atutaki
2026-08-28 13:35:18
0
user5765529321624
Imran kweka :
Never ever
2026-08-27 21:29:22
0
sultansuleiman649
سلتاب سلايمان🏝️ :
Wa ZANZIBAR kwani sio watanzania ? ila watu hawaelewi TANZANIA
2026-08-28 11:28:32
3
muzzo.boy3
Muzzo boy :
Kwan wazanzibar co watanzania broo
2026-08-28 07:33:01
6
felicehakunamatata
felice hakuna matata :
hatutaki katiba mpya raisi awe huyohyo mpaka ifike miaka kukumi mbele ndio tunataka katiba mpya samiya oye
2026-08-28 09:26:43
10
zfdctv
ZFDC TV :
vnjeni muungano
2026-08-27 19:36:25
4
0007k98
k9 :
kwani Yanga anacheza lini
2026-08-27 20:42:31
2
mr_fit15
mr_fit💪🇹🇿 :
Tatizo mnaongea mkiwa mbali hapo ndio tatizo ndio maana tunashindwa kuelewa
2026-08-28 02:37:33
3
monttero.tz.one
@monttero grapher :
munazingua coz munahusisha san na uzanzibar.
2026-08-27 23:22:29
2
mrssomeonespecial5
Mrs some one :
leo kwetyuuuuuuuuu zanzibar semeni wiiiiiii waaaaaaah 😂😂😂😂
2026-08-27 19:13:38
3
ureliana2
urelianasole :
nina ndoto ya ufika USA pia nampenda mam angu mengine sielwi ili mladi ninakula na kupumua☺️.
2026-08-27 18:43:27
10
nuwayrianassor
Nuwayria Nassor :
kwani si ni ndugu zetu wa damu Kuna haja gani ya kuleta maneno hapaa
2026-08-28 07:56:23
2
dhahabu82
Dhahabu. :
katiba mpya wa democrasia hazitosaidia iko roho ya elia(na nguvu kubwa iliopo tz)ndio inatenda kazi 🙏😁
2026-08-27 21:14:48
0
suleiman.abdulrah21
Suleiman Abdulrahman :
Hata cc hatutaki kutawaliwa na watu kutoka bara ila sisemi kwa dharau nawapenda sana lkn co kwenye zanzibar yangu
2026-08-28 06:23:47
2
yeye_eh
yeye_eh :
Anawaambia watanganyika wasiogope ila yeye anaogopa🤣 “mwanaharakati”…. Suseni tena 2030
2026-08-28 00:35:50
2
khamisabdalla15
khamisabdalla15 :
acheni chuki bhna
2026-08-28 06:09:59
1
user6198779007886
mzanzibar :
ilo jina tanganyika mbon hawalitak wenyew tatizoo jinaaaa
2026-08-28 11:06:09
1
omarmakame969
omarmakame969 :
njoo ww upiganie
2026-08-27 20:08:43
3
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About