@matukioonline_tv: Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amezungumzia hatua ya aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema amesikitishwa na namna kiongozi huyo alivyoshughulikiwa. Mligo amesema Nchimbi ni miongoni mwa viongozi wenye historia na mizizi ndani ya CCM, hivyo hatua ya kumvua uanachama kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu haikupaswa kushughulikiwa kwa namna hiyo. Amedai kuwa kiongozi huyo amefukuzwa “kama mbwa,” akisisitiza kuwa Nchimbi amekuwa sehemu muhimu ya uongozi wa chama hicho kwa muda mrefu. Credit: Bongo Five

Matukionline Tv
Matukionline Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 19:07:38 GMT
178491
12803
377
384

Music

Download

Comments

alkhanjiri3
alkhanjiri :
Hakufukuzwa ameandika mwenyewe
2026-08-27 19:52:33
35
nabii904
NABII CHIDU 🇨🇩 🇿🇲 🇹🇿 :
Dada kaa kimya wasisikie watu🤣🤣
2026-08-27 20:31:19
207
bilakuchoka45
$Mr siunajua 👑@💯 :
Mimi kama mwana Sheria wako nimetangaza rasmi nimeacha kazi 😂😂
2026-08-27 20:36:55
140
user1797437278197
Enock mchunga :
Dada kiufupi mungu akupe maisha malefu
2026-08-28 05:20:40
19
icky_moh
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Pole dada sigrada
2026-08-28 04:37:27
4
john.kwingwa
John Kwingwa :
mungu akutunze dada angu nimekupennda bure
2026-08-27 20:11:21
158
daniel.mwadime
Daniel Mwadime :
very clever lady big up sister
2026-08-27 22:34:06
4
ellyeliajr
Elly Elia Jr :
imagine huyu awe dadako 🥰 Mpak raha
2026-08-28 02:04:53
58
emmanueljames289
Emmanuel TZ :
ndio kwel that is fact
2026-08-27 20:37:10
5
shadoboxer175
shadoboxer175 :
Allah akulinde
2026-08-27 21:17:15
3
hellen22299
Hellen :
BRAVE WOMAN 🫡🫡🫡🦾👍🏿👌🏿❤️🥰
2026-08-28 06:20:34
2
neema2955
agriculture :
dada Mungu akulinde
2026-08-27 21:21:46
20
sharifaoficialtz
sharifa-oficialtz :
Mungu akurinde dada nakupenda
2026-08-27 20:43:47
21
user12857830012015
Joseph dorop :
exactly madam
2026-08-27 20:20:15
2
user8028253067854
fetty :
usimhoji sana inatosha😊😊
2026-08-28 04:13:28
5
zax.b1
zax b :
true say
2026-08-27 20:23:59
1
bmmagesa
Bmmagesa :
imeongea point💯💯✅✅✅
2026-08-28 03:28:13
6
monica.mpangala
Monica Mpangala :
mungu akulinde sana mbunge
2026-08-27 22:51:17
6
nellyclassical.wm
Nellyclassical WMshighati :
Hili Taifa ni la ajabu mno
2026-08-27 21:19:16
7
user1115999024857
Domiana :
ndg muheshimiwa mubunge naomba namba yako uwe mama angu 😁😁😁😁
2026-08-28 04:32:01
15
johnmihayo185
John Mihayo :
Sigrada i love you...
2026-08-27 20:05:00
13
iddytolo
Iddytolo :
Amesema ety hi nchi ukisema ukweli unatwekwa mkuu
2026-08-28 05:08:52
21
hugo23996
h*u*g*o :
mimi sijui na sikuepo na sijui kitu wowote🤣🤣🤣
2026-08-28 05:52:01
5
wizzy.msafi3
Wizzy Msafi :
Dada kasema kwelii dah hii nchi mungu ndio mjuaji asee
2026-08-28 06:02:50
8
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About