@bongofive: Ado asema “Kobe akiinama” Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo akitaniana na Mbunge wa Tunduru Kaskazini (ACT-Wazalendo), Ado Shaibu kuhusu kuogopa kuzungumzia suala ya kujiuzulu kwa Dkt. Nchimbi nafasi ya Makamu wa Rais. Una maoni gani? Imeandaliwa na @yasiningitu

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 19:38:01 GMT
69056
3518
75
108

Music

Download

Comments

user3361865952294
user3361865952294 :
kbs yaaani dad upon sahihi
2026-08-28 05:26:08
2
danielmwita487
Nyang'ombe :
huyu dada ni noma aise
2026-08-27 20:05:24
18
rashidimohamedi32
chinga boy :
Kwan mbna munanichanganya kwani kafukuzwa au kajiuzuli
2026-08-28 03:15:47
7
selemani0837
selemani :
sigrada sautiyako tu,mie kwishaaa.👍👍👍
2026-08-28 05:30:14
4
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
kwani huyu dada ni mbunge wa wapi kwani?
2026-08-28 07:43:40
2
cut.isabella
cut Isabella :
dada taratibu kpenz, watakupoteza
2026-08-27 20:44:17
14
judymwacha
judymwacha :
napenda sauti ya sigrada
2026-08-28 05:16:09
3
user9757558705663
peoples favourite :
ndio tumefika hapo sasa
2026-08-28 05:01:02
3
dannyjordany
Danny Jordany :
nyiee wawili ndioo Tz 😊
2026-08-28 03:52:22
2
joepel.glow
Joe Emanuel :
yaani Sigra ADO angekuw mume wake wangeendanaa
2026-08-28 06:51:17
1
josephraymond923
josephraymond923 :
sasa kama mbunge anaogopa mwananchi hali yake ipoje wakuu naomba kujua jambo apo🤣😂
2026-08-28 06:18:09
3
www.youngmoney.666
PROMOTER~JEX-KEX +255/+256 :
I love you she's
2026-08-27 20:51:04
3
andersonmbonea762
Anderson Mbonea :
mungu taagalie tanzania
2026-08-28 04:18:27
2
0628121458.anko.mu
0628121458 anko mud simb :
may sisit Husiyonge San tusije tukakukosa bad tunakupeda San san
2026-08-27 21:37:58
5
violetmmasi
violetmmasi :
Ninasikitika bunge liko kimya
2026-08-27 21:59:22
6
samwelingungulu
Samweli Ngungulu :
mhhhh
2026-08-28 05:34:02
1
user9974653024993
user9974653024993 :
hapa kunaki2
2026-08-28 06:58:33
1
aronanselemi
ARON ANSELEMI :
matapeli wa kisiasa
2026-08-27 23:05:31
1
ommytyger
Ommy tyger ♥️🔐✅ :
@Ommy tyger ♥️🔐✅:@Ommy tyger ♥️🔐✅:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema😭
2026-08-27 21:56:39
2
comedycen7
comedycen7 :
Nashindwa kuwaelewa
2026-08-27 21:23:35
4
nyamashekimanguya
nyamasheki j manguya :
naomba kujua chimbi kafukuzwa kivi eti chama je kamati ya chama imekaa lin ikaja na uwamuz huo du
2026-08-28 05:00:35
3
nahliothman_478
najma othman :
Yaa hii ndio jawabu la taasisi kubwa hakuna mtu mkubwa juu ya tasisi tasisi ni kubwa kuliko mtu
2026-08-28 07:18:50
1
_abuu93_
_abuu93_ :
duuuh
2026-08-28 08:29:44
0
asha.mwanyanja
Asha Mwanyanja :
huyu ni mbuge wa iringa
2026-08-28 08:04:14
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About