@jamesemmanuelmaru0:

James Emmanuel marungu
James Emmanuel marungu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 19:44:15 GMT
12556
407
32
30

Music

Download

Comments

johnmabula615
John Mabula :
Yani nishelehe
2026-08-28 09:00:45
0
timayanoah638
Timaya Noah :
hapo kila kitu imekamilika kwa taifa letu la Tanganyika ata wakigawa hajuna baya. hapo tiari tuna Rais Majaliwa maakamu wa rais Mpango waziri mkuu Nchimbi. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tutainjoi na Tanganyika yetu
2026-08-28 09:47:29
2
durand.kilonzo
Durand Kilonzo :
Itakua safi tutatoka katika ukoloni mambo leo
2026-08-28 05:41:29
3
user4317201215903
onesmo sanga :
itakua powa san yan
2026-08-28 06:13:52
1
user5180614405873
Siyame :
tutaipata Tanzania halisi yetu
2026-08-28 07:36:20
1
user2185846009298
frola silvesta :
daah jamani hata itakuwa frahakubwa sana na waziri kasimu majariwa atdkuwa raisi wa nchi 🥰🥰
2026-08-28 10:31:03
0
sadick9625
KILI HOPE ORGANIZATION :
hizo ni ndoto za mchana pia watakua hawafai kama ni kutetea wananchi pia wanaweza wakiwa huko huko CCM anaehama sehemu nyingne ni uchu wa madaraka hafai huyo
2026-08-28 08:09:18
0
jeremia.yambi2
Jeremia Yambi :
utatu mtakatifu
2026-08-28 09:34:46
0
mrishoramadhan24
kize boy :
itapendeza sana km ikitokea hivi
2026-08-28 08:38:18
0
nangale81
nangale :
CCm.atakuwa hana chake tena.
2026-08-28 07:31:40
0
user3500804630340
makena marwa daniel :
ewa
2026-08-28 08:47:37
0
user6916735912639
kuyamba Tv 📺 :
ushindi huoo
2026-08-28 08:14:18
0
malekela307
obama manumanu :
Karibuni sana CHADEMA ,palipo na haki kumenoga.
2026-08-28 09:55:16
0
selestian170
selestian :
kila mtu atapata haki yake
2026-08-28 08:18:23
0
jacoblawi737
Mr. lawi :
Tanzania mpya inazaliwa✌️💪
2026-08-28 08:18:49
0
reyyrehema.raymon
reyyRehema Raymond :
watulie tuu kimya alie ccm abaki ccm alie tolewa chama atelie.namungu wake
2026-08-28 08:33:17
0
user2542120317206
frola j nkolikwa :
Yani itapendeza sanaa
2026-08-28 04:53:53
0
ramadhan.shaban290
Ramadhan shaban :
hapo ndio itakuwa mwisho wa ccm
2026-08-28 08:50:21
0
user2166190855168
Restuta Mwapinga :
Kwa kweli mmependezana
2026-08-28 06:16:43
0
officialwity37
user9971984076690 :
ndio mwisho wa chadema hatuja msahau lowasa
2026-08-28 06:47:09
0
johnandende
john andendekisye :
ccm mbona haipo tena ccm imebaki kwa police tu
2026-08-28 10:31:50
0
aron30917
aron :
vema
2026-08-28 07:09:37
0
user38114651599617
user38114651599617 :
inchi itakuwa poa
2026-08-28 05:37:07
0
frankephillimon48
Frankephillimon :
Utakuwa ndio Mwisho wa chama cha sisiem,, maana wana influence kubwaa
2026-08-28 06:50:44
0
bekamselemani
bekamselemani :
dah kuta kua pamotoooo
2026-08-28 05:09:08
0
To see more videos from user @jamesemmanuelmaru0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About