Asa bwana Asikof kama walijua Hilo njoo KWENYE Dini ya Allah
2026-08-28 05:15:26
28
mh DC :
i looooooove it
2026-08-29 07:19:35
0
felista :
tunda la kanisa mungu akupe maisha marefu baba askofu
2026-08-28 08:00:43
27
Haji Hassan Hamdan :
Nimetokwa na machozi kuona tunakumbushwa Sisi tunaojiita waislam Kwa kusomewa yaliyopo katika surat Yassen kama ukumbusho na kinga kwetu sote.
ALHAH AKBAR.
2026-08-28 06:57:39
18
urmminomary :
huyu mzee ni mtu muhimu sana ktk nchi yetu Allah amlinde
2026-08-28 10:33:24
30
EH Marxist🇹🇿🇹🇿 :
Na hutakuja Kuona kiongozi wa kikikristo akiisema vibaya dini nyingine hvi ndivyo tunatakiwa kuishi kwa kuheshimu dini za wengine cyo maneno machafu
2026-08-29 09:45:11
11
user9632429340290 :
asikofu nimeenda sana njoo kwenye din ya haki utuogoze Hadi tutakapo ludi kweke mola wetu
2026-08-28 08:42:44
6
Moody Mlosa :
tunatakiwa tuishi ivi
2026-08-28 05:21:38
13
Doctor ally sharifu :
sisi waisilamu na wakristo sio maadui tupendane na tushirikiane kwa mambo ya kujenga taifa letu
2026-08-28 17:44:48
7
Tata Mura :
huyu mzee ni nani kwani?
2026-08-28 14:23:59
4
Juma Nyange :
Maa sha Allah. Mungu adumishe umoja wetu
2026-08-28 05:22:00
14
Mwakio Scott :
Exceedingly Expectations 🥰🥰🥰
2026-08-29 16:50:09
0
user63774968252332 :
Kila mtu ajifunze kuisheshimu Imani ya mtu mwingine shida inaanzia kwa viongozi wetu wa dini baadhi maana wakisimama kuhubiri kauli zao ni za kusema dini za wenzao badala ya kuwafundisha waumini wao njia sahihi za kuiendea Imani yao
2026-08-29 05:28:26
7
mukki 12 :
aisee inatakiwa tuishi hv usikute sisi sote kitu chetu ni kimoja tu
2026-08-29 06:30:19
6
Abdallah Luswaga :
Mungu akujaalie sana uwe namaisha marefu
2026-08-28 07:25:55
6
Seleman Rashid Mgweno :
mungu akubariki askofu wetu muhimu wakristo na sisi waislam kwakweli askofu wetu nitunu ya taifa asante sana umetupa ulinzi na elimu sana,
2026-08-29 09:47:33
5
Mzalendo Mswahili :
“Wote hao si sawa sawa. Miongoni mwa Watu wa Kitabu wamo watu walio simama baraabara, wanasoma Aya za Mwenyezi Mungu nyakati za usiku, na pia wanasujudu.”
“Wanamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na wanaamrisha mema na wanakataza maovu na wanakimbilia katika mambo ya kheri. Na hao ndio miongoni mwa watenda mema.”
“Na kheri yoyote wanayoifanya hawatanyimwa malipo yake. Na Mwenyezi Mungu anawajua wachamngu.”
Āl-‘Imrān 3:113–115