Mungu kama zamu yangu iko mbali fanya haraka kwa ndugu na rafiki zangu 😔
2026-08-28 06:08:23
179
mrs_salim❤️🦋 :
mashaallah🥰ikawe khery mjengezi
2026-08-28 03:39:58
37
Safina🥰🥰 :
Nikionaa ndoa za kiislam napagawaa sanaa…… napendaaa sanaa 😂😂 naassume ningekuaa mm😂
2026-09-11 11:39:06
18
official zuuh :
mung awape uvumilivu katka ndoa yenu
2026-09-11 14:38:17
10
💦Cute nury💯 :
mbn me ciolew.jmn
2026-09-12 14:52:35
0
Khadija 🧕🤍🫶 :
mwanangu na mkwe wangu🥰🥰🥰
kuzaa Raha bhna mashallah
2026-08-28 04:52:33
5
user9752745922150 pendo🥀🥀 :
jaman mi naomba kuulizatu kwan hivi chet vinakuwaga ni ngum kuvipata? mbon si hatukupewa tumeambiwa hajabahatika kupata tusubir embu mwenye kujua aniambie
2026-09-23 18:08:49
2
mjawaallah1 :
Ewe mola wangu naomba hii siku ifike kwangu
2026-08-28 09:04:53
14
aziza :
ongera mwaya
2026-09-03 13:58:01
1
it's meenah🦋. :
Mashaallaha☺️
2026-08-28 06:30:31
4
wwww :
Mungu na Mimi nione
2026-09-03 15:37:24
3
🕋بی خدیجہ 🧕 :
One day InshaAllah 🤲
2026-09-14 20:21:36
1
user8791881947108 :
Allah nakuomba na mm unipe wa kwangu
2026-09-13 06:17:43
4
🎀It's happy🦋 :
mungu kama zam yang hiko mbali bas fanya wepes
2026-09-20 19:52:08
1
Zahalia Mohammed :
mashaallaah
2026-09-21 06:07:28
1
sabrina :
mungu awajaalie jaman na sisi tupate wakutuoa
2026-09-06 15:59:45
2
يَتِيمُ الحُبِّ ❤️🔥 :
One day inshaallah
2026-09-09 12:39:04
1
Ashriphatgalby406 :
Najiunga na hizi barka wakat wa mungu ni wakat sahihi🥹🤲😫
2026-09-08 15:05:57
5
kilavesvisual :
Honger sana boss🔥🙌🏾
2026-08-28 10:19:04
0
Zahira Mpangausi 💫💫💦💦 :
Mashaallah ikawe ya kheri
2026-08-27 22:53:50
5
Chichi Collection🦋💓 :
❤️nakupend
2026-08-28 09:06:19
0
Mrs ?? :
Dah Kila nikiperuzi nakutana na ndoa pia wajawazito ata sielew me zamu yangu lini🥰😳
2026-09-20 18:26:04
1
Pretty dee money💵💰 :
Mashallah ❤️
2026-08-28 11:49:47
1
tiffah lesious 😘 :
mashaallah ikawe kheri 😭😭
2026-09-01 09:33:00
1
To see more videos from user @meerdesigner, please go to the Tikwm
homepage.