@sheikhshariffjangri: #daressalaam🇹🇿 #tanzania #trendingvideo #foryoupage❤️❤️ #americantiktok🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 @Diamond Platnumz @WASAFI FM

sheikhshariffjangri Alqahsawiy
sheikhshariffjangri Alqahsawiy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 21:47:25 GMT
22127
943
83
117

Music

Download

Comments

hajrah9402
Naima eyes :
nimepiga chafya nlivosikiliza haya maneno😳
2026-08-28 10:29:23
2
halimcbid0a
halim :
ya rabi tunusuru na hao watu ya allah
2026-08-28 02:51:48
7
user4658841439969
official latifa :
Kaka mimi nilimuacha mwanaume lakin mapigo ya moyo huwa yanaripuka kila wakati mpaka nakosa nguvu alafu naanza kumkumbuka jaman .
2026-08-28 14:33:56
1
amina.ally1162
amina ally :
hiyo ya kutua kitu saa6 usiku ni kweli hivi haya mambo kwani haiwezekani kumrudia mwenyewe anayekufanyia?
2026-08-28 08:04:07
2
69mwana
Mrs ue💕 :
Shekh Mim Nina hofu, kun nyumb nimepang Nina miez mitatu lkn. nilishikwa na. mapigo ya moyo mpk mtu unasem nakufa , nard nyumban kutok kzn naogop Kulal pek ang kun mda nasema Mim nakufa ohoo ugonjwa wa wasiwasi sielw ila ibada nafny hi hali Kwa nin🤔🤔😭
2026-08-28 07:06:13
2
user761428749682
Bby suu :
shukran sana
2026-08-27 22:13:59
1
mwajumakatani525
Mwajuma Katania :
Ninazo hizo dalilli zote , nimehangaika sana mpk nimechoka
2026-08-28 00:18:27
2
gloryagabrel
Gloria Gabriel ♏️ :
mimi kabisaa
2026-08-28 08:39:30
0
mlmisi4
princess A :
yaa rabbi tunusuru waja wako
2026-08-28 13:22:39
0
rehematisho
Rehema tisho :
huyu anaongea ukweli
2026-08-28 12:13:09
0
mudrationtz
OfficialmudrationTz :
mungu akubariki
2026-08-28 07:17:27
0
habibatamimu612
Habiba Tamimu :
mbona hizo dalili zote zanguu ninazo
2026-08-27 22:40:27
1
ramshyjay476
ramshy :
wee hizi dalili nilikuwa nazo toka mdogo wallah,sijakuwa na nuru mpaka nimeolewa,ila huko kwenye doa sasa mungu tu ndo anasaidia na watu wa mwilini cz saa hii nikama nimejielewa,so huwa na jipambania na dua,alafu sasa hata nilikuwa mzito wakuswali,ila ilifika time ikifika tu usiku kuna sauti inaniamsha amka swali,but nilikuwa mzito sana kitambo niswali,mpaka asbhui moja nilivyo amka nikajipata nimechanjwaa wee hapo ndo niliogopa,ila nashukuru mungu nimesimisha swala zangu na nimekithirisha adhkar na kutafuta dawa za kisuna mimi mwenyewe cz nimejaribu kwa wanganga nikapata pia wananigeukia,saa hii naogopa wanganga hao walimu wengine pia siwamini,asante ustadhi kwa hizi dalili,
2026-08-28 06:28:38
0
amina9487
amina :
mi tamani kuondoka kwangu na roho inauma sanaa. mpaka natokwa na machozi. kuna saa natakq kukaa peke yangu kimya naumia sana
2026-08-28 06:43:09
0
muna_shop017
muna_colletion_shop01 :
wallah wabillah hizo dalil zote ninazo haswa kwa sasaiv yarabi stara yaarab😭😭😭😭😭
2026-08-28 03:14:22
0
gloryagabrel
Gloria Gabriel ♏️ :
Asante sana kwa kutufungua akili
2026-08-28 08:41:47
0
tulsitenie
♓️ tulsi :
Nimeswali hadi nimechoka naishia kulia tu
2026-08-28 09:11:22
0
thaniakhamissalim
Thania Khamis Salim :
uyu ni mimi kabisaaa
2026-08-28 05:00:26
0
muni20736
Muni :
Mungu awashinde hao mahasidi
2026-08-28 16:23:14
0
adolfakabrajido
BRAJIDO :
umesema kweli je suluhisho
2026-08-28 15:13:36
0
v.jey42
neema jonasi :
mwili wangu unasisimka janam toka tarehe 23 nisaidien
2026-08-28 13:39:28
0
user9737305248212
ukhty Aisha :
hamu ya kula ni mimi huyo
2026-08-28 14:41:57
0
bintihamisi795
bintihamisi795 :
shukran kaka
2026-08-28 14:29:43
0
To see more videos from user @sheikhshariffjangri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About