@mcmsigal: Ninapolipa mimi kodi 😀

Msigala
Msigala
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 04:00:00 GMT
228927
16864
275
221

Music

Download

Comments

aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Mi napika bila kuambiwa asikose nguvu za kunikula bwana😂😂😂😂
2026-09-06 20:59:32
18
mulkaty75
Naah🌸phones&Accesories📱 :
Me napikaga bila kuambiwa😂
2026-08-28 11:41:33
25
grycergareth
she is mine 💝😍 :
kwanza Kwan aje kwangu☺️!?
2026-08-28 06:05:36
50
janniem03
janemhoha :
na hiyo Hela ya pilau hatoi😁😁🤣
2026-08-28 05:56:20
12
winner.hans6
Winner Hans :
Mimi mtu asiyenilipia kodi ntamwambia naishi na mama yang
2026-08-28 12:03:57
6
domina.arinda4
gift 🎁🎁 :
tunapika ugari na mchicha 🤣🤣🤣🤣
2026-08-28 09:23:02
4
verrati53
VERRATTI XF :
sasa kibaya kipi apo jaman🤣🤣
2026-08-28 12:27:42
0
vinnahlov
Heaven fresh juice🥤♥️ :
😂😂😂😂nisem kwa kukaa au kusimam
2026-08-28 07:24:41
5
user9960280279087
Bertha tz :
Na wewe unamruhusu anakuja
2026-08-28 11:14:27
3
teclah0021
Tecla❤️🌹 :
natamani niweke status hii
2026-08-28 19:12:04
1
nanchyfredickl
✨Naryle💕 :
me yenyewe sijipikii
2026-08-28 10:04:52
0
filimontz1
Filly Boy TZ🇹🇿 :
Kwan uliniomba kod nikakataa
2026-08-31 19:45:14
0
ruth.haruni
Ruth Haruni :
sio tuu pilau na nyama anajipangia mda wa kuja
2026-08-28 12:50:27
1
user9419636696501
Michael library :
nimeumbuka maana apa ndo nilikuja kwa demu wangu naangalia hii vidio nipo ndan kwake na ndo nishamwambia aniandalie chakula kzriiiiiii
2026-09-02 12:25:23
0
wakagere
Joseph Wagura :
ulipotelea wapi
2026-08-28 04:09:41
5
user4349455732947
rechodom :
pilau ndo nini na nyama ndo nini
2026-09-06 18:38:21
0
devotha2406
devotha🥰🥰 :
kwanza kwangu hakanyagi,tutaonana barabarani,au restaurant kwisha
2026-08-30 18:59:17
3
mtoto.wa.baba668
mtoto wa baba :
hahaha Mimi Kwanza ata kuja huwezi kuja yaan nijilipie Kodi alafu we uje tu
2026-09-07 09:58:57
0
erickelias060
erick elias :
shida sio Kodi jekam nahemea mm
2026-08-28 05:00:47
1
furahawilliam68
beautiful Charu :
Sasa mm tasemajee jaman chalange kibaya zaisi naishii nae daaah mliokua single mko vp
2026-08-28 12:45:36
1
mangawise8
Kim😎 :
Yani mimi hata kuja hawezi ataishia kituo cha daladala weeeeeeeee😂
2026-08-28 12:22:21
1
mimiz592
Mimiz :
umewezaaaa kivuruge wangu
2026-08-30 17:00:23
1
jayvice
jay vice💙💦 :
na kwann aje situlisem saiv sisi ndo tunaenda kwa akina maiman au
2026-08-28 10:44:50
0
dolcezza001
MIMIDO❤️💕 :
Kuna mwingine huku kasema nipikie vizuri bila ivyo Sili na unipe Nauli natafutaaa jibu adi saivi nakosa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-28 17:11:00
1
reginajohn6177
Regina John :
@kwanini aje kwangu
2026-08-28 09:20:42
0
To see more videos from user @mcmsigal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About