@mwl.emilian.katub7: Nakuombea leo Mungu akupe neema ya kutofautishwa. Kutoka 33:16-17 Kwa maana itajulikanaje kuwa nimepata neema mbele zako, mimi na watu wako? Siyo kwa sababu unakwenda pamoja nasi, hata mimi na watu wako tutengwe na watu wote walio juu ya uso wa nchi? BWANA akamwambia Musa, Nitafanya na neno hili ulilolinena, kwa maana umepata neema mbele zangu, nami nakujua jina lako.
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Friday 28 August 2026 03:56:12 GMT
Music
Download
Comments
JEROME 🎭🔥 :
amen amen amen and thank you
2026-08-28 06:06:40
1
user2024785306978 :
tunao amini kuwa bwana atafanya in jesus name 🙏
2026-08-28 04:19:31
49
Mary Chalelema :
AMINA AMINA man of GOD
2026-08-28 05:26:33
1
Samuel mushemi :
Amen in jesus name
2026-08-28 05:54:02
1
nancy728734 :
Amen..n Amen 🙏
2026-08-28 06:17:44
1
Sharoo :
Ameeeeen oooooooh
2026-08-28 05:39:43
1
user57319499747303 :
amen amen amen amen eeeeee napokeya kwajina la yesu Christo amen
2026-08-28 04:44:55
5
jqueen@2525 :
Amen napokea kwa jina la Yesu Kristo
2026-08-28 05:56:12
6
Rachy :
AMEN NiIMEPOKEA NEEMA YA KUTOFAUTISHWA.
2026-08-28 05:05:56
5
Berry :
Napokea neema yakutotafautishwa kwa jina la yesu 🙏
2026-08-28 05:03:57
4
Irene Nick :
Ameeeeen
2026-08-28 06:32:32
2
zulfah 🥰❤️ :
Napokea katika Jina la yesu 🤲🏽🙏🏽
2026-08-28 06:13:27
4
tinashe :
AMEN
2026-08-28 06:07:34
3
Elizaa :
Amen in jesus name
2026-08-28 04:12:18
4
pretty petty :
Napokea nehema ya kutofautishwa in Jesus mighty name 🙏 🙌
2026-08-28 06:24:56
2
Sarapia Ambrose :
Ameeeen
2026-08-28 06:31:11
2
Elias Magambo :
amina mungu ni mwema
2026-08-28 05:57:09
1
mercie ♈ :
Amen 🙏🙏
2026-08-28 04:13:41
6
MR ONANA JR :
amen
2026-08-28 06:18:48
2
emmynyathikano :
Napokea neema kwa jina la yesu Kristo amen
2026-08-28 06:27:29
1
user9365629980767 :
napokeya neema
2026-08-28 06:17:01
1
miss Ak :
MUNGU naomba neema🙏
2026-08-28 06:04:26
1
asanwisye :
Napokea naema ya kutofautishwa
2026-08-28 06:55:24
1
Maggie's :
Amen napokea kwa Jina la Yesu 🙏🙏
2026-08-28 06:27:22
1
viasyl :
Napokea kwa jina la Yesu🙏Ameeeen🙏🙏🙏🙏
2026-08-28 06:10:35
1
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.