@mwangomo.jr: @Officialmedusah😍 @Gengeboy Quotes 🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktokviral #tiktoktanzania🇹🇿

Mwangomo Jr
Mwangomo Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 04:04:22 GMT
76713
2345
452
275

Music

Download

Comments

e6.dick
Pl🤗 :
sina pesa za kuanza kutafuta mwan sheria pipytida nishushe🤣🤣🤣
2026-08-28 06:44:53
159
sarajoseph657
Sara :
Watanzania mmenishinda tabia🙌
2026-08-28 12:51:57
10
macklina_freshjuice2
macklina_freshjuice2 :
Da pipi nishushe 😂❤️🙌🙌🙌🙌
2026-08-28 15:03:44
0
mama.prospa7
jeni💕💕 :
watu wameshachoka jamn so Kwa Aya majibu😂😂
2026-08-28 09:20:51
12
mtotowauswahilin
MTOTO WA USWAHILINI :
Dereva wa Noah alikuwa mtumwema kabisa wakati huu kuliko wakati uliyo pita
2026-08-28 11:00:41
21
sharifu.muhamed4
Sharifu muhamed :
Watuuu washachokaa
2026-08-28 07:07:08
11
user8243865614151
rey qeen💞💞💞 :
Dereva mwenyew mume wang hamuwez amin🥰🥰🥰🥰
2026-08-28 12:30:05
11
ww.mbingaboy0
mbinga boy :
2026-08-28 12:20:38
1
yuyajr1
Yuyajunior :
askar mnawazarau sana lkn wapen2 heshima yao hawa watu wakipewa likiz mwez mzm ndo mtajua thaman yao
2026-08-28 09:55:35
12
edness5
E official 👌 :
Asante baba kwa hatua hii ongeza na wengne baba
2026-08-28 13:52:18
6
phriz587
Phriscaz @coed :
Off_Target
2026-08-28 08:49:12
1
reginamathias190
Regina :
najuwa haiwahusu lakin leo mume wangu anarud kutoka india🥰😋
2026-08-28 07:06:56
10
user2379788467469
user2379788467469 :
kwakwelii wakili kashaniambiaa ukisubutu siji mahakamani
2026-08-28 09:59:11
5
rey.a895
rey a89 :
hii ndo tanzania bhana utakavyokuja ndo tutakavyokupokea so shida zetu sahivi hatuogopi kutekwa na watu wasiojulikana 😂😂😂😂😂
2026-08-28 10:07:45
5
vesty557
Vesty 💞💞🥰🥰 :
Napita
2026-08-28 13:41:35
0
umitheboss2
ummy :
nipo Kwenye msiba wa mwanasheria wa familiar kwahy mniacheee😂😂😂
2026-08-28 07:27:06
6
vickyvannie1
Vicky :
yooooo
2026-08-28 14:13:34
0
dandaro99
dandaro@#🦋officially 🇲🇾 :
kuna mwingine alicomment et dereva yupo wapi tumchangie🤣🤣🤣🤣
2026-08-28 10:38:12
7
maina.the.bit
Naah_beauty💕🥰 :
watu tunaroho mbaya tutafika tumeinama Mimi simo ngoja nikanywe uji ni lale uwiii
2026-08-28 06:48:27
7
user7099636812167minna
aminah🦋🦋 :
dapipy mambooo😂😂😂😂😂
2026-08-28 09:59:22
1
happyne04
happie :
nachoka mm na haya mambo 😅😅😅😅
2026-08-28 12:01:06
1
aznat.hussein
Aznat Hussein :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila watu
2026-08-28 12:49:35
2
To see more videos from user @mwangomo.jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About