Kila la heli kwenye mchezo wenu wa Leo mwenyezi Mungu awaongoze vyema azidi kuwajalia upeo na ufahamu azidi katika Kila hatua ya mchezo wenu 🙏na Imani na ushindi nawapenda sana 💛💚💚💚💚
2026-08-28 08:23:38
2
Rosemel Lauliana :
niwatakie ushind yanga yangu
2026-08-28 07:48:33
1
veeyjr :
point tatu muhimu lazima
2026-08-28 05:47:14
1
naomicharle8 :
naikubar yanga Leo mnawapig ngap💚💚💚💚💚💚💚
2026-08-28 05:58:41
1
user67833924739222 :
nina iman nao ushindi ni uhakika gor tano nategemea kwao
2026-08-28 08:07:36
1
Eugene Rutagengwa :
kila la kheri magoli team
2026-08-28 08:07:30
1
udongo mweusi :
point tatu muhimu Leo 🥰all the.best chama langu young Africans 🥰🙏 Yanga bingwa 💚💚
2026-08-28 06:43:17
1
Mama💞💞wa🌹🌹yuu❣️💞 :
Niwatakie ushindi wa magoli3 kwenye mchezo wa leo
2026-08-28 06:40:39
1
fatuma :
nataka kushangilia goli la tano
2026-08-28 08:14:15
1
wakusini3 jr :
nataman tungeshind goar 5
2026-08-28 07:02:06
1
user5796319352680 :
kila la kheri timu yangu leo nataman tushinde 5
2026-08-28 10:03:18
0
Mariam jonas :
tunataka tano
2026-08-28 09:43:25
0
Petronila Emmanuel :
😁😁😁😁😁
2026-08-28 05:43:26
1
Moshi Machunte :
💪💪💪💪💪💪
2026-08-28 04:55:33
1
To see more videos from user @enghubby.marine, please go to the Tikwm
homepage.