Kuna statement nliisikia ukitaka kitu ukikipata ukiwa nafuraha bila kukipost au watu kukua unacho hapo kweli ulikua unakitaka for you
2026-08-28 11:55:58
0
Salum Ally Hassan Salim Msuya :
Mafanikio kwangu ni yule anayebaki bila kibandiko chochote cha kidunia. Mafanikio kwangu ni kuishi ili wengine waishi (sio kutumika) bali ni kuone ukuu wa Mungu ukitimia kupitia mimi. Kuona mwingine akipata faraja kupitia mimi.
2026-08-28 17:18:59
0
baby boss :
♥️♥️
2026-08-30 07:01:28
0
To see more videos from user @kitabu_podcast, please go to the Tikwm
homepage.