nani mwingine mtanzania mwili unasisimka anapoangalia hii video
2026-08-28 18:20:27
9
athunwtvifx :
2026-08-28 20:00:58
1
Leiutenant🪖 :
TUMEAGIZWA UPENDO❤️
2026-08-28 20:10:34
1
rogous :
mnasikia Tanzania ikisifiwa tukiwa kongo
2026-08-28 16:45:23
5
Emmanuellazaro Mwanakatwe :
Tanzania jeshi kubwa sema nabii kwao akubaliki onanwemzwt wanatukubali sana
2026-08-28 17:04:55
6
VIKINGS Rill dn :
sio poa
2026-08-28 16:04:01
1
Elisha Swaswa :
love ❤️Tanzania 🇹🇿
2026-08-28 17:46:50
1
it's just a joke :
ivy mwanajesh hua yupo kwaajil y kulinda taifa lake au mataif y jilan
2026-08-28 18:07:14
2
rmwangao :
ya muda sAna aisee
2026-08-28 17:27:56
1
losa :
ni wap apo
2026-08-28 10:07:20
1
yohana ndidi :
Kongo iyo
2026-08-28 11:56:41
1
mange :
mdongo angu alirudi marehemu wakati nakabiziwa kifuta jasho nilishindwa kuipokea
2026-08-28 19:43:28
0
Kiraka Abeid :
Ni ya siku nyingi kidogo. ila huwa inaniliza sana. Unafika sehemu unakuta wenyeji wamekata tamaa ya kuishi halafu ujio wako unawapa tumaini jipya. Ahhh midhali kaja huyu basi maisha yetu yatakuwa salama
2026-08-28 17:37:07
1
ezema :
2026-08-28 16:58:23
1
Brizzy_Daddy👑 :
TANZANIA INAHESHIMIKA SANA HASA NCHI ZA AFRIFA MASHARIKI HATARI🔥🔥🙌🙌
2026-08-28 20:26:50
0
Mansoor junior :
Aiseee ukiskia sauti ya huyo dada anaongea kwa sauti yenye matumaini sana na jeshi letu, mungu tulindie nchi yetu
2026-08-28 18:45:42
0
Akilimbili44 :
Free Congo
2026-08-28 18:57:57
0
benjamin :
Sikugani iyo bana naona kama nigoma
2026-08-28 11:32:11
1
admire_electricity :
Iyo post ni ya muda San kabla waasi wa m23 hawajaikamata goma
2026-08-28 17:19:22
1
hHendry Monyo Hendry Monyo :
hawakuridi.hawa.jamaaa
2026-08-28 18:50:46
0
Guy :
Balikimbiyaka
2026-08-28 18:48:23
1
To see more videos from user @nurdin.bokelo, please go to the Tikwm
homepage.