Hakuna mahusiano bila mawasiliano hakuna mwanaume aliebusy Kwa mwanamke anaempenda...
2026-08-28 15:59:49
538
p :
my situation right now 😭
2026-08-28 13:03:54
211
joycewilfred79 :
mimi sitamani kupenda tena yani daaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-28 12:58:40
45
star girl⭐️🎀 :
ndo maan napenda zang kula na kulala😂
2026-08-28 13:38:55
260
Amina beuti salon :
nawewe unajiskiaje kuzuiya hii video
2026-08-28 07:26:23
65
J.G :
This is my situation right now 😭😭
2026-08-28 11:47:35
31
ummhabibah :
hapa nishapata jawabu ... maana hiyo story imefanana kabisa na yangu ....
2026-08-28 18:46:26
45
Nchimbi family ❣️🫂 :
Huyo ni mimi kabisa ila Emma mungu anakuona 😏😏
2026-08-31 19:22:36
12
🦋Mirah 💕 :
Mm huyu naenda vile anaenda na mm akiwa cool nakuwa cool akiwa hot nakuwa hot hamna chakupoteza energy 😋 😂😂😂
2026-08-29 14:49:22
18
happie🌸 :
mmh me wangu hapatkani hadi wiki mbili
2026-09-01 20:30:42
8
miss vonie :
duuh huyu ni mimi kabisa na ukute ushampenda daah😭😭😭 sijui nifanyaje
2026-08-28 08:27:49
13
Safi Kayeba :
jamani mimi nimepata mwanaume badoo tukaanzisha uhusiano siku niliyokutana nae kimapenzi siku hiyo hiyo akaniambia nataka kukuoa tena nikikataa anachukia vibaya mnoo mpaka anatetemeka huyu ananipenda kweli jamani 😢
2026-08-28 20:34:31
8
Pressy 💕💕💕 :
my situation right now 😭😭
2026-08-31 07:34:10
7
Maria Yohana :
mimi nimejipa muda nasoma zangu biblia nikimaliza nalia nalala...mahusiano ngoja tujipe muda
2026-09-02 10:52:24
6
junebebe28😘💸💰 :
wangu alikuwa ivo nikamuacha nimemblock futa namba ake kbs manina zake
mtu kila siku wa baridii yan u don't feel him yy kukaa kmy ata siku nzima kwake fresh tu sasa mm ni last born I need princess treatment kheee😅😅
2026-08-30 04:15:57
27
MOUH🧼🫧 :
Ndo Hali ninayopitia kwa sasa🥹🥹😭😭😭😭😭❤️🔥
2026-08-29 14:38:03
11
user2656594970201 :
he tuko wengi jaman saiz ni kufocus na pesa mapenzi nooooo
2026-08-28 21:01:05
5
mynah :
usizuie vedio s wengne hatuez fikisha ujumbe direct tukieka status wakiview tuh washaelewa inawahusu
2026-08-30 05:02:22
5
Fatma Mmassy :
Kakangu unachokiongea ni kweli
wako wanawake wengi wako ktk ndoa lakini huwa hawawaelewi wenza wao na maisha yao hayasomeki hata kidogo
2026-08-28 05:24:07
19
Priscar Stanley :
ni kweli nakutn nayo kweny mahusiano yang
2026-08-28 16:35:27
7
Ruth Mmbaga :
kweli sio lazima kumlazimisha mtu auone umuhimu wako, maana mtu anaye kupenda hakosi mda kwako
2026-08-28 04:35:30
41
Herlimah Jj :
asambona umeifungia hiiiii video jmn naitak😄😄😄
2026-08-28 06:38:30
8
thug gal💫 :
that's my ex 😔haelew nn anataka kwenye haya maisha 🙌
2026-08-28 07:22:28
10
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.