My son ameishiwa na viatu kabisaa,anaenda shule na gumboot na zinamchoma juu ya jua, I have failed as a mom , Mimi hufanya vibarua na saa zingine zinakosekana yenye inapatikanaa inakua tu ya fud, mtu anisave na 250 shs niende soko nimtafutie kiatu ama wenye mko githurai na kiatu no 34 mnibariki nayo ni boy but sitachagua kiatu ni ya gender Gani any nitashukuru🙏🙏🙏
2026-08-28 09:29:44
1
felixowino600 :
wachana na hao watu bwana
2026-08-28 07:27:37
0
💫NandiOrigin :
Kahawa😂😁😁😁
2026-08-28 08:22:04
0
lijo :
🤣🤣🤣
2026-08-28 05:46:20
0
Evans :
🤣🤣😂😂😂
2026-08-28 07:11:21
0
To see more videos from user @los_extrano_1, please go to the Tikwm
homepage.