@mkuuculturaltourism: Likizo ya nyumbani si kukutana Tuu, bali ni kurudi kwenye asili yetu! Imebaki miezi michache tu kabla ya kuanza kukutana na ndugu, jamaa na marafiki wanaorejea nyumbani kutoka mikoa mbalimbali kusherekea sikukuu ya Noeli na Mwaka mpya. Ni wakati wa furaha, mshikamano, kumbukumbu na kushirikiana katika mambo ya maendeleo. Safari hii, Mkuu Cultural Center tunakualika uongeze ladha kwenye ziara yako kwa kutembelea utalii wetu wa utamaduni. 🛖Nyumba ya nyasi. 🪘Historia na utamaduni wa Wachagga. 🍻Mbege safi original. 🏞️Mapango ya Wachagga. 🎶 Nyimbo na sanaa za asili 🍌 Vyakula vya asili. 🧌Hadithi za kale na simulizi za mababu. 🌍 Na mengine mengi yanayokupa nafasi ya kuujua utamaduni wetu kwa karibu. Rudi nyumbani, tembelea utamaduni, sikiliza simulizi, onja vyakula vya asili na uishi utamaduni wako. Mkuu Cultural Center, mahali ambapo utamaduni wa Warombo unahifadhiwa. #MkuuCulturalCenter #CulturalTourism #ChaggaCulture #TanzaniaCulturalTourism #ExploreKilimanjaro
Mkuu Cultural Center - Rombo
Region: TZ
Friday 28 August 2026 05:15:48 GMT
Music
Download
Comments
Herbalist Judy🌿🧿 :
Ndugu zangu wa Marangu tusalimiane hapa🥰
2026-08-29 10:10:44
20
Lewis 😍😍 :
hadi natamani kulia kwafurahaaa😂
2026-08-28 16:30:21
9
colly dady🇹🇿🇰🇪🇨🇦 :
tarehe bado jaman vep😁😁😁
2026-09-02 11:05:28
2
momy&lily💞😘 :
Natafuta mume wa kichagq
2026-08-31 05:15:52
1
Passcode lasway :
nimetamani sana mbege nimeona shori nimekumbuka mbali sana
2026-08-29 00:16:16
2
nguchi :
mapema sana Mbona mnama
2026-09-02 16:28:46
1
@marrycute..varchie- :
Jamani wachaga wa uru mambo bado miezi mitatu
2026-08-30 11:46:03
2
Sam boy :
hapo ukienda ukirudi mjini lazima uwe tajiri niamini mim
2026-08-31 09:36:30
1
QUTY NORAH :
nimemezaa matee akiiiii😁😁
2026-08-28 18:42:20
2
TZ🇹🇿 :
Wachaga wenzangu ambao amjaoa mpo wapi chitaki kuolewa na kabila linginee😁😁😁
2026-08-30 17:06:14
2
Deogratias :
Ahom ndao kanyi. Asili asilia100%.
2026-08-28 19:24:59
1
@Mchaga mweus :
jamani hii sikukuu ni wachaga tuu hawo wengiñe watuache
2026-08-28 18:04:45
2
mank store :
uwiiiiiiiiii
2026-08-28 11:57:32
1
kevo og :
old mosh iyo
2026-08-30 13:39:40
1
glory dominki 2424 :
jamani kichumini
2026-08-28 12:58:55
1
Ms-sarah :
Siwezipata mwanaume wa huko nikuje kuonja hii
2026-08-29 22:17:11
0
Tailoredby_gee :
kwenye kusave hela za xmass ishafika elf5 mpaka december ifike zitakua zimejaa najua🫰
2026-08-29 15:08:26
2
user17788101554213 :
jamani 🥰🥰
2026-09-01 17:14:25
0
miriana :
sweety home🥰🥰
2026-08-31 19:50:10
0
loveness 💕💕💕 :
wachaga wa marangu komakundi tujuanee
2026-08-30 20:35:35
1
sauka yasini :
nimekumbuka nyumbani
2026-09-02 17:52:15
1
Lilian Lyimo :
daaaah
2026-09-03 10:45:58
1
Glad Wilson :
bora kutukumbusha tujipange kuhesabiwa😅 maokoto yaandaliwe mapema
2026-09-02 11:25:10
1
Moses $500$ :
mengere Kama ya kwetu🥰🥰🥰
2026-09-02 07:27:13
0
🕸🧿REYMA🧿🕸 :
kautamaduni miaka miwili sijainywa jamani
2026-08-28 18:05:41
1
To see more videos from user @mkuuculturaltourism, please go to the Tikwm
homepage.