@simon_mlinda: YESU hajasafiri studio session 👏👏 @GODFREY STEVEN @OBBY ALPHA 🏅 @kibongewayesu @Stewart Mwakasege👑 @Naomi James @The mixing doctor

Simon Mlinda
Simon Mlinda
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 05:22:38 GMT
16842
1880
60
19

Music

Download

Comments

mwasupafashion88
MwasupaOutfits8👗👗💄👠👜💃 :
My Family forever😘😘😘😘😘Kazi Yenu ni njema.Mungu awatunze
2026-09-06 10:14:34
10
djcedricke
DEEJAY CEDRIC KE :
Nawezapata aje full session
2026-08-28 14:46:04
3
gracetaaka733
Gracias :
Be blessed all 🙏🙏 I really love your music, all the way from Uganda 🥰🥰🥰
2026-10-01 19:08:36
0
emmamayengo5
mcmayengo :
hiyo ndo raha ya kushare ideas kitu kinatoka kimenogaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-30 14:15:07
1
furaha.kidoti
cute💞💕💝 :
Nawapenda watumishi wa mungu mungu azidi kuwapa kibali mbele zake
2026-08-28 05:40:37
2
user8694169341132
OBEDY JOHN :
tuwakilishe vyema waimbaji wa injili
2026-09-12 09:11:01
4
yusta.ngombo
Yusta Ng'ombo :
mungu awashikamanishe muifanye kaziyake kisawasawa
2026-09-29 19:10:18
0
baby.melissa49
baby melissa :
mungu awabariki sana watumish
2026-10-02 04:16:50
0
barnley.skyboy
Barnley skyboy :
Godfrey ameweza
2026-08-30 10:15:53
1
telecia983
Telecia :
Godfrey kaweza
2026-09-17 13:54:42
1
brian.wangila0
💖BRASHO💖 :
kazi safi
2026-08-28 11:18:25
1
mheshimiwajacob
Jacob nyongesa official music :
kazi nzuri🙏🙏🙏🙏
2026-08-28 18:20:40
1
lisabirungi16
Lisa Birungi :
jamani na mimi natamani kuwa kama nyie jamani nawapenda 🥰🥰🥰
2026-09-16 05:46:38
1
volontepatrice
DYLAN TRANSPORTATION # :
vitu vyangu sasa ningekuwa karibu kazi yangu nikukaa karibu muwe munanituma inje.
2026-09-28 14:15:10
0
user81704665253872
menasi regius sikazwe :
kaka nawatakia safairi njema ya muziki
2026-09-25 21:14:09
0
lokdajohn
leokad :
nawakubar sana kaka zangu mungu awabariki sana kwa kaz nzur
2026-09-17 22:23:01
1
comfortsanga29
Comfort Sanga😀😀😀😀 :
kakaaa mdogo umemaliza
2026-08-28 15:50:34
0
pascaltippe
pascal tippe :
barikiwe sanaa
2026-09-07 12:02:37
1
user8308868075711
abixious :
kazi njema
2026-09-21 11:02:01
0
bsquare869
bsquare :
nyimbo yang bora ya 2026 Mungu awainue wapendwa katika Bwana muifanye kazi yake njema🙏🙏🙏
2026-10-01 21:24:16
0
user1360534252560
mythan jjj :
jmn mm napenda bure nyimbo zenu jmn🤣🤣🤣🤣
2026-10-05 20:48:50
0
mariammponzi783
mamuu jr :
verse ya godfrey jamn abarikiwe🥰🥰
2026-10-02 20:25:10
0
catheline.vullah
Catheline Vullah :
jmn safiiii
2026-09-26 16:16:17
0
user4132279570962
Keirini Mwashiuya :
hajawai kosea 🤣🤣
2026-09-10 18:34:32
1
official.diana555
Diana zaidi :
nawapendaa sana
2026-08-28 20:12:16
0
To see more videos from user @simon_mlinda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About