@uafoundry: Tuweke pembeni tofauti zetu. Bado tuna safari ya kulijenga taifa. Tuunge mkono jitihada za Serikali, na tusiwe wa kupinga hata yale mazuri yanayolenga kuijenga Tanzania yetu. ‘Share’ ‘Repost’, tuifikishe 2M views. #contentcreator #millionviews #contentcreatorinsights #trending #tanzaniatiktok @Chama cha Mapinduzi @Chadema Tanzania @ACTWazalendo @bbcnewsswahili @Babalevo @cnnswahili @JohnHeche @Zitto Kabwe @bonifacemwabukusi
mziki ni silaha,,unaweza kusimamisha vita panapo mwagika damu
2026-08-31 16:52:35
1
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
Rais wangu🥰
2026-09-04 04:03:06
2
last bron wa mama,❤️❤️❤️ :
jin la yimbo
2026-08-30 07:04:43
1
francis :
jina la wimbo
2026-08-28 09:07:29
0
Ester Lazaro :
mungu anaweza
2026-09-08 11:43:14
0
nebo :
safi mama wataifa pamoja sana
2026-09-03 18:13:36
1
FEZAH GIRL :
safi sana
2026-09-05 18:06:23
1
Unicorn Allianz :
Tunawashukuru sana kwa comments, support na nguvu mnazotupa! 🙏🔥 Endeleeni kurepost, kushare na kurekodi challenge. Tuwe pamoja hadi tufike 2M views. Youtube link ya wimbo ipo hapo juu kwenye bio.
2026-08-31 21:26:47
0
mapanda :
miaka 60+bado tunajenga tu
2026-08-30 15:08:46
0
Zawadi Richard :
umesema vema!
2026-08-31 10:58:16
1
Unicorn Allianz :
Tufikisheni 2M views 🥰🥰🥰 Save, like, repost
2026-08-28 06:01:25
1
rehema :
tunga wako umecopy
2026-09-01 12:58:33
1
Christopher :
haipendez amemwaga dam
2026-08-31 19:18:48
0
Blessing Mjengi :
Huu wimbo sio wake humufai kbs huu watud lissu
2026-09-02 19:35:33
1
satary :
👏👏👏👏🎉
2026-09-03 19:23:07
1
Hilda Augustino Kadunda :
🙏🙏
2026-09-04 22:00:13
1
user24024190945116 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-11 18:27:00
1
Msaliti :
Nyimbo ina itwa Mwambie - Unicorn Allianz Band. twende YouTube tuka ipandishe ifike 5M views kwa siku
2026-09-03 10:22:05
0
To see more videos from user @uafoundry, please go to the Tikwm
homepage.