@tppl.tz: Ngozi yako inahitaji care ya kila siku ✨ Kwa Top Milk Body Lotion, unapata ulaini, unyevunyevu na muonekano mzuri unaokaa nawe kuanzia asubuhi mpaka jioni. Top Milk Body Lotion, kwa ngozi inayojiskia vizuri siku nzima.
tppltz
Region: TZ
Friday 28 August 2026 06:32:01 GMT
Music
Download
Comments
SARAPHINA 🦋💕 :
Wameona tunapakaa saa ya mgando wameona wahamie kwenye lotion😅
2026-08-28 19:34:55
112
HotTeaTz☕️🇹🇿 :
Mko mbele ya mda wanetuuu
2026-08-29 06:48:55
21
Bertha John :
wasije wakawa wanatumia Nembo tu alaf wawe wametujazia cream ,tumechoka kujichubua Da Pipy nishushe
2026-08-29 14:11:42
35
Lemme_b3 :
Haya mafuta yamenisaidia sanaa
2026-08-28 20:41:44
3
Priscar Pallangyo :
Uwiiii nayataka mm napata wap
2026-08-28 12:30:23
6
rey qeen💞💞💞 :
Mtaan kwetu 3500 tu
2026-08-28 16:53:24
1
Stitch Designx :
🤣🤣🤣ila nyi watu
2026-08-29 07:40:59
2
user4552241444630 :
nataka Bei gani
2026-08-29 10:27:35
1
neymo :
Bei gani
2026-08-28 15:52:42
2
..better now 🥰 :
mtoto wa miaka3 anafaa kupaka
2026-08-29 11:16:04
2
Rimrah :
paka hii na mgando kwa juu alafu usoni paka mgando tuu kila night paka kwenye lips sahau lip balm kama masihar ila ndo kweli 😅😅😅
2026-08-29 14:43:14
4
zee outfit :
ni mazuri balaaaa🔥🔥🔥🔥 ngozi inakuwa teketeke
2026-08-29 09:58:41
2
user7547902122530 :
nipo shinyanga mjini nayapataje hayo
2026-08-29 18:02:25
0
zainabukwata :
Aya sijayaona jamani nani.anayo
2026-08-29 05:34:55
2
xchn :
huku dar yako kwa nani jmn mi Naya taka
2026-08-30 12:26:35
0
Rose :
Dar cjawah kuyaon au huku kweny chanik bado hayaj fika naya hitaj maan na paka mgando nikipat na haya itakuw pw
2026-08-29 16:47:03
0
ms_aries♈️ :
Sitoki kwenye kiwese cha mgando,ukipaka kwenye lips usiku kabla ya kulala siku tatu tu lips zinakuwa laini...napaka na body oil yake ila lotion sitaki
2026-08-30 10:11:00
0
lady_M95 :
Mtoto yanafaa
2026-08-29 11:27:00
2
jullie✨️✨️❤️ :
Hapo sasa wametupatia
2026-08-29 11:04:08
1
Janeth David :
Mmenogewa wanetu 😁😁😁
2026-08-29 11:51:15
3
Vee ✨ :
nipo dar naweza kupata wapi
2026-08-28 17:20:29
1
SM STORE 👘👚👜👙👒🏪 :
nahtaji kwa bei ya jumla yanapatikana wap?
2026-08-29 07:08:08
2
user2463325529451Monica p Mart :
Yanapatikana wap jaman huku dar, sujaona mm
2026-08-29 10:17:23
3
Lemme_b3 :
Kma kuna lotion basi mm n mteja wenu milele
2026-08-28 20:41:58
3
To see more videos from user @tppl.tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.