@cabomatelephone: 🔥 ULITUMA UJUMBE ZAMANI NA UNATAKA KUUFUTA KWA “DELETE FOR EVERYONE”? 😱 Usipanike! 😎 Kuna mbinu inayoweza kukusaidia kufuta ujumbe uliomtumia mtu hata kama muda umepita. 📌 Kwenye video hii nimeonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kubadilisha Date & Time ya simu na kuiweka kwenye siku uliotuma ujumbe huo, kisha kutumia Delete for Everyone. 🗑️ ⚠️ Tazama video mpaka mwisho ili usikose hatua muhimu. 👉 Hifadhi video hii na mshirikishe mtu ambaye hajui mbinu hii! 🔥 #fyp #viral #challenge #cabomatelephone #trending