Hapana kingereza cha marakani na Uk tafauti na kingerza cha Kenya na Tz tafaut na Uganda na Naageria pia tafaut
2026-08-29 02:26:23
8
HADIJA :
nimecheka mpaka kinena kimenicheza 😂😂
2026-08-31 10:37:11
2
Gideon Paul Magangira :
Sio kujivuna au kukataa uhalisia wako, lakini nimekuwa university hapa kwa miaka 5 sasa, nikamaliza na sasa naendelea tena. Kwa hiyo kiukweli, ukiishi na mzungumzaji wa hiyo lugha, utagundua kwamba unaweza kusema kitu in English lakini mtu asielewe kbs unamaanisha nini. Ukisema “WOTA!”, the confusion would be kwamba anaweza kudhani unasema “What a…” 😂 it’s such a popular and most used phrase in English so that could be a confession someone would say what the heck oh you may see even some Gospel Minister they say what in the world it’s a phrase so if you say water in terms and pronunciation that could be a confusion. Yako maneno mengi ambayo unless you use proper intonation and pronounce them as they should be pronounced, you’re cooked! 🙌🏾 Vitu kama idioms, slang, etc. si rahisi kuvijua unless you live with people who speak the language. So, someone from America may not necessarily speak English the same way you do. Bongo tunaongea Kiswahili kilichochangamka, then we claim it is English! 😂 Ni kama Wakenya na Wanigeria wanaongea English yao ambayo ni very poor and inappropriate!