Kuna kipande icho nakisubili 😂 😂 Huyu damla ataenda kuwa Piga watoto kule kwa neslihan alaf watoto watamwambia mama Yao weeeh 😂😂 kichaa kitampanda atamfata kufika tu vibao kama vya osman bei 😂😂 Nimecheka
2026-08-28 11:46:56
15
Jenesta :
waoooooo
2026-08-28 14:35:44
1
sapy official :
Eee Mungu nisaidie hii itakuwa ni roho ya shetani mbona Nimefurahia sana Yani moyo wangu umelidhika kabisa
2026-08-28 13:00:38
8
Tynah💓💖 :
Ina maan wasap imetasfiliwa na ipo mbele
2026-08-28 07:12:40
2
Mr :
Inaitwa na imetafsiliwa na dj gani
2026-08-28 16:10:17
1
Aaliyahshahnaz :
mbona mi nimempenda huyu mwenye vibe vepe nilipie king'amuzi sasa😂😂
2026-08-28 10:23:12
4
P.🥰V.🥰🥰🥰 :
hata mimi nakisubiri
2026-08-28 13:25:41
2
meme loce :
hii ya lini nsitufanye hamu iishe jaman
2026-08-28 17:17:27
1
niwahchimah :
kwahy Murat anampenda damla au nrslihan
2026-08-28 15:46:04
1
Roselee Ignass :
safi kabisa
2026-08-28 17:20:22
1
Double-"T"-🦋🦋 :
hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-28 17:39:38
1
de cat 😺 :
Safii nesliham
2026-08-28 14:59:37
1
Veronika Suma asenga 123457667 :
daah nimeipendaa
2026-08-28 14:24:46
1
fatma wasonga :
safi neslihan
2026-08-28 18:14:30
1
Maliam🦋🦋 :
Safiiii kumbe 🔥
2026-08-28 11:45:13
1
mama leon :
saa ngap hii na imeanza lini jamn
2026-08-28 10:00:15
1
madame Idaaah :
next
2026-08-28 08:40:13
3
shuu🌺 :
daah hii kali
2026-08-28 09:20:08
2
أم فتحية😍💍❤️ :
yaitwaje hini
2026-08-28 09:30:26
2
naahcute :
Daah kumbd hii inakuja kuwa kali aisee
2026-08-28 11:40:43
2
Martha :
yani kama nationa nnavyo badilika haloo usipime moto wake 😳
2026-08-28 13:36:46
2
Mariam❤️ :
siku zote movie kama hizi hua zinabamba kinoma ♥️
2026-08-28 13:14:19
1
cutee nana :
saf sanaa
2026-08-28 09:57:42
1
To see more videos from user @_.moviebox, please go to the Tikwm
homepage.