@blaxstore175_hq: Apple imetangaza rasmi tukio lake kubwa lijalo litakalofanyika Septemba 9, 2026. Vifaa vinavyotarajiwa kuangaziwa ni: • iPhone 18 Pro • iPhone 18 Pro Max • iPhone ya kwanza inayokunjwa • Apple Watch mpya • AirPods 5 • iPad mini yenye skrini ya OLED • Vifaa vingine vipya vya Apple iPhone Fold inaweza kuwa tangazo kubwa zaidi kwenye tukio hilo. Ni kifaa kipi unakikisubiri kwa hamu zaidi? CC @blaxstore175_ @blaxstore175_backup #Tech #technology #phone #iphone #tanzania