@evamrema2: Umewahi kupitia Hali hii? ikiwa Kuna namna wewe ni OVER-THINKER usiondoke hapa Leo, nitakupa na mbinu za kupunguza athari zake. ✍️ Eva Mrema. psychologist, life and wellness coach. #HealYourself #fypシ゚viralシ #trendingnow #trendingtz🇹🇿 #viralreels

Eva Mrema.
Eva Mrema.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 07:28:16 GMT
42353
1922
181
55

Music

Download

Comments

godsdaughter611
Rizzy wa north 🦋 :
mimi nikiingia chooni naanza kuwaza je choo kikititia 😂😂😂
2026-08-28 17:12:55
70
boni37og
Bonface :
mimi kila muda nikiwaga alone nafikiriaga kuhusu kifo, yaani natengeneza matukio mfano bibi akifa, arrangement itakaaje dah!! sipendi sana
2026-08-28 09:19:38
46
singlemumy5
Kitike outfit 😍 :
Mimi nawazaga…nishakuwaa tajiriiii mkubwaa!!migariiiii ya maanaaa,fwezaaaa kibao yaan😂 natumia hata siku mzimah nawaza tu
2026-08-28 15:57:49
14
judykifaluka50gma
Judy 🌷 :
mtu afanye nn aepukane na hiyo hali
2026-09-02 06:37:08
1
mamuu.2
🤍Maryam Kahaby🤍 :
Yani this is me. 😩
2026-08-28 08:39:49
1
madamveeh01
madamveeh :
mm nakaaga ivi nawaza nshakuwa tajir ninamjumba mzuri mkubwa magar mazur Nina pesa nasaidia watu
2026-08-28 16:14:32
7
introvert.power80
INTROVERT power :
hatulali usiku ni nawaza nishaoa na inamiliki kampuni ni boss ofisini nina mke nina gari ni a kila kitu na mke wangu nampenda sanaaaaaaaaaaaaa kuna siku niliingia saa 3 mpaka inafika saa 1 asubuhi ndo nashtuka kausingizi kanakuja😂😁
2026-08-30 20:33:42
2
journalist7276
Journalist :
pole dada yangu tupo weng sana ndg ni vile tu sina wa kumueleza
2026-08-28 07:54:14
3
nisslioness
@Nisslioness :
mimi naona kua overthinker kwangu nikuteseka yan natengeniza huku kichwan kwambi nimefiwa namtu wangu wakaribu nalia kabisa na roho inauma au nikiotewa hata na kipele mwenzenu naona nshaumwa gonjwa kubwa had naenda hosp kupima naambiwa huumwi hivyo unavyowaza😭😭😭
2026-08-28 10:05:56
8
anstaziejackie
anstaziejackie :
nateseka mimi na hiyo kitu. Mungu mwema nisaidie
2026-08-28 07:48:36
4
amina.ami81
aminaعبدالله ٩٩ami :
Ila mimi najiwazia mazur ata ni kusimulia saivi😁😁
2026-08-28 14:07:39
4
shuuoscar
shuu oscar :
alifanyaje ukapona mimi nizaidi ya hayo na sipendi hii hali
2026-08-28 14:57:38
2
justine.peter73
Balamus Bahamon♑ :
Sina cha kusema Bora nicheke tu😀😀😀😀
2026-09-01 19:17:30
1
doreeoxv6q5
Sorry :
Kumbe kuumba matukio kichwani na kureact ndo over thinking
2026-08-28 08:34:31
5
_belle0008
_Cocobelle🥥🇹🇿 :
Mimi uoverthinker umezidi nimekuwa nabii
2026-08-28 17:21:18
3
www.tiktok.melvinstore
@MELVIN STORE 🎀 :
Mimi nikiota kitu kinatokea kama nilivyo ota jamani🙌🙌
2026-08-29 03:38:51
4
iamshakira.tz
@iamshakira.tz :
naweza nikawaza mama angu kafariki nikalia kuja kustuka naliaa kwer tena machozii ya kuloanisha nguo nikistuka nakemea toka pepoo
2026-08-28 09:59:45
7
msbertha13
Bertha Joseph :
Nyie nyieee hii hali inatesa kuna mda unalaa unaanza kuwaza unaona tayar umefiwa na mtu wako wa karbu unaona ukilia mara ukipanda gari unaanza kuona kama ajari inatokea ukipewa taarifa ya mgonjwa unawaza tayar atakufa utakavoenda msibani af cha kushangaza tukio baya linatokea ukiwa hujajiandaa ila ukiwa umewaza tu wala halitokei baya
2026-09-01 19:33:41
1
healthwithnipher
Md. HanifaSuleiman :
sijafikia hii stage duh, so sorry sister 💔
2026-08-28 11:01:28
1
_juliana_54
[email protected] :
Uwiii ni mm kabisa
2026-08-28 10:24:05
1
rachel.joshua05
Rachel🩷🩷 :
Hii ninayo mm mwenyewe naweza mpk stuka usingizi nalia mpk kwikwi 😔
2026-08-28 18:24:52
1
lydia.maseke
Lydia Maseke :
yan kama mimu
2026-08-28 12:54:15
1
huddah_me
huddah_G :
We ulipitiliza dear
2026-08-28 12:15:41
1
ney20beautysaloon
Ney20_beaty saloon :
ni mimi jamaniiii kwanini lakini
2026-08-28 10:19:27
1
userjoycemanguku
Joyce Gervas :
hii inatokana na nini
2026-08-28 12:54:48
1
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About