@naycemoshy: N hapa Nayce lounge ijumaa ya asili mida hii😊

Nayce
Nayce
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 07:44:02 GMT
719775
30065
862
220

Music

Download

Comments

linah.kimaro7
Kimaro45 :
Bsb ebdbdb dd dbdbdbndbdbbdndbdb c. Bcdhxbbzdbbsbaaajddl z zjhshsjs jdbggbx. Z x. X z. Dz x sa. Xzbvvvvvb. Bbsbwwbwbhdbdnurk ehhh
2026-09-10 13:14:53
0
rebeccamasanja3
rebeccamasanja3 :
Ushaul usipost maandalizi ya chakula mtu anakutane na finishing kwa sahani tuu wengine ukiona tu Ivi hutamani kula Ila nikikutana nacho nitatamani kujaribu Ila kama. Nimeona maandalizi hapana nikutane na chakula kwa sahan
2026-08-29 05:47:52
253
kissolojunior30
Baba janet :
Nahisi kuhalisha
2026-08-28 14:40:57
60
deboraelieth4
Babe Dodo♥️ :
jee mtu akitaka kufany bday hapo inaruhusiwa je kisinia mnatengenez pia
2026-08-28 07:59:21
95
goodnesskinyanjui
Goodness Kinyanjui :
wale wa kusoma comment mko wapi🤣🤣🤣
2026-08-28 18:40:08
190
sallhaa46
binadamu wabaya🙌 :
hakuna kitu kizuri kama kujiajili mwenyewe nakuelewa mm nilie komalia biashala yangu hatakama unauza kalanga nizako ukiziganya kwa furaha zitakutoa tu
2026-08-28 09:15:31
71
iryn.eddy2
IRENE EDDY :
hiyo ni mbege au dadii
2026-08-28 09:10:35
8
mrvibes160
Mr vibes😁 :
kumbe na ww unaweza kupika
2026-08-28 08:24:59
7
odinga334
Odilia Odinga🇰🇪 :
sister una ubunifu mkubwa san😂🤣siku nkifungua na me hotel lazima niweke chakula cha kimasai loshoro swafi kbc😁
2026-08-31 18:00:02
14
farajambisa
Faraja Mbisa :
et loshoro mnapika me nataka nije kunywa 😭 nime imc
2026-08-28 08:08:32
11
tension.clamp
Tension clamp :
aseee hiyombege uza elfu 10,000 ili tuje watu classic 😁
2026-09-01 12:18:52
7
daflosamvile565
mood off @#100% :
hii ni pombe gan wakuu🤣
2026-09-07 19:00:41
0
lydia41969
Lydia :
jalibu kujistili kidogo maana mhh
2026-08-28 12:40:45
12
haika2580
Haika :
ndo nn hiii🤣
2026-09-03 14:00:38
0
meshack.nkya
Meshack Nkya :
umenikumbusha nyumbani wamachame mko wapi
2026-08-29 12:37:10
7
ms___jassy
@ms___J :
me nataka mtura shingapi
2026-08-28 08:03:16
5
reydelucky7
Rey de lucky🌹❤️‍🩹 :
tuliokimbilia kusoma comment tujuane 😅
2026-09-06 10:53:31
4
efooball202
One_tz gaming :
😂😂😂mbona me nahalisha kabla sijanywaa
2026-08-29 11:14:55
0
msoma59
msoma# :
Ndugu yangu paka mbege nakuja nancy🥰
2026-09-04 12:14:31
1
yobamalley
Yoba Malley :
hiyo loshoro ina maziwa kweli
2026-09-01 05:27:51
0
To see more videos from user @naycemoshy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About