Eeeee kweli kuna watu wana roho ngumu kupita maelezo. Sometimes you look at what humans do and you wonder, how can a heart become that dark?
How do you even reach a point of harming another human being like that… tena ukimuangalia fighting for his last breath?Hapo unajua kabisa tunaishi na mashetani disguised as humans, wallahi.
Because hata kama mtu ni mhuni, hata kama amekosea, humanity haipaswi kufa kiasi hicho.
Lakini sasa, wale wanaofanya ukatili kama huo… tuwaite nini?
They’ve crossed a line that no human heart should ever cross.This world sometimes shows us the deepest darkness, Noma sana.🙏
2026-08-28 18:48:09
5
Tiktok gal ❤️ 😍 :
wouyee so sad 😭😭
2026-08-28 18:35:40
2
mama boys :
ohh my God what did the guy do
2026-08-28 17:38:33
2
beby beby :
pole san
2026-08-28 15:21:54
1
shanniz 877💯💗✨💫 :
oooh nooo😳
2026-08-28 18:54:51
0
Nima bby :
subuhana Allah inalilahi wainalilahi rajiuna
2026-08-28 17:17:19
5
Audrey 💓💓 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭eeeeeeeeeeeeiiiii only mother's can relate
2026-08-28 16:55:54
3
mariammwamsema :
hukmu ya kuchoma ni ya mungu tu na sio binadamu mwizi anakatwa mkono
2026-08-28 16:59:09
7
guzzman :
Allah akulaze pahalii pazurii sela.cause akuna mwenye hakii yakuchukua uhaii w mtuu
2026-08-28 18:04:56
4
SweetbbyAnita :
jamani hemu jiulize ingekuwa ww
2026-08-28 10:09:18
5
🌀@memslyne🥀✨ :
mbn yakaa kwato ..mbn sielew kuna nn
2026-08-28 19:11:16
1
G :
usihukumu usije ukahumiwa
2026-08-28 17:19:04
3
🥰🥰mamuu :
camera man na uko apo iyo nguvu watoa wap kuchukua vd??
2026-08-28 16:40:37
3
Ruth Kadzo :
jamani😢😭😭😭
2026-08-28 17:06:31
2
Zuri :
aaah jamani 😭😭😭😭
2026-08-28 15:23:10
1
Yommie yoo :
Duuuh maskini😭😭😭😭
2026-08-28 17:03:55
1
pili :
jaman mbona tuna ukumu ndipo
2026-08-28 16:07:41
1
Toto la Kidigo. :
mwenye kutoa hukumu n Allah n c binadamu
2026-08-28 17:00:04
6
saudasamirsamir :
ni nani
2026-08-28 08:54:10
1
cute lucy :
subuhanallah mbn hmna huruma jmni😭😭😭
2026-08-28 18:53:37
0
young Mama :
miiii nimeumwa na tumbo machozi kutoka sio poa
2026-08-28 20:39:53
0
Mbula Dismas 💖 :
Subhan Allah
2026-08-28 19:25:54
0
Maria :
jamani
2026-08-28 19:13:10
0
@ASIA037-KENYA🇰🇪 :
you can't forgive bro,,,angekua kaka yako ungefeel aje
2026-08-28 16:53:13
0
To see more videos from user @mtoto.mzuri55, please go to the Tikwm
homepage.