@millardayo_: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Deogratius Ndejembi anatosha kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania baada ya aliyekuwa kwenye nafasi hiyo, Dkt. Emmanuel Nchimbi kupoteza sifa. Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Agosti 28, 2026 baada ya kuwasilishwa kwa jina la Ndejembi Bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura na Wabunge ili jina lake lipitishwe rasmi katika nafasi hiyo. "Uteuzi huo, kwa mujibu wa Katiba, unapaswa kuthibitishwa na Bunge kwa kura za wabunge walio wengi, kama ambavyo umekwisha kusemwa," "Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa sifa za Makamu wa Rais zilizobainishwa katika Ibara ya 47(3) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi anakidhi sifa hizo,"
millardayo
Region: TZ
Friday 28 August 2026 08:30:28 GMT
Music
Download
Comments
RUFIJI+KIBITI +MAFIA :
kila mtu atapoteza sifa na atadhalilishwa kwa idhni ya allha
2026-08-28 08:45:44
14
frankjavan822 :
Wa kwanza ku comment
2026-08-28 08:33:53
6
twasalili :
kumbe hajajiuzuru kapoteza sifa
2026-08-28 09:22:39
2
𝐁𝐄𝐍 𝐊𝐈𝐒𝐀𝐍𝐆𝐀 :
sijui kwnn nilizaliw hii nchi
2026-08-28 09:56:18
1
nassa mawe :
kupoteza sifa how how
2026-08-28 12:01:17
0
Jombaa de range :
hamna mtu hapo
2026-08-28 09:33:52
1
whsfinnest :
MBONA MNATUCHANGANYA SASA
2026-08-28 12:28:57
0
simba :
dah nmeumia sana nchimbi miaka yote ile alikuwa mtovu wa nidhamu safari hii ndio kaizinisha kabisa kwamba ni mtofu wa nidhamu
2026-08-28 08:56:28
1
JAFARY MUSA :
hakuna mtu aliepoteza sifa ndan ya serikali kama wewe mwigulu michembe
2026-08-28 13:04:21
0
Raphael Iroga :
Anatosha kufanyaje mkuu
2026-08-28 11:10:46
0
may_anne :
Hivi hawa wabunge ndicho tulichowatuma kumdiscuss mtu kweli huku barabara zimejaa mashimo kama mmeshapata mpya hatutaki maelezo
2026-08-28 11:12:40
0
🇰🇪 .🍀 . ISACK.🍀 .🇰🇪 :
5
2026-08-28 08:40:21
0
BRIAN🍎 :
yan hii nchi sijui ataongea ata nani tumuelewe tokea tarehe 29 October unyama tuliofanyiwa amna ata cha kutuambia tuwaelewe
2026-08-28 13:06:57
0
KABUGA BOY :
milladi tunajua unatutega aya nasisi anatosha 😁😁😁😁😁😁😁 ndio
2026-08-28 09:27:10
0
LASTBORNtz :
NCHI NGUMU HII..😳😳😳
2026-08-28 08:45:38
0
Manphiz ruger :
Au sio
2026-08-28 08:41:22
0
aaaa :
kuna wabunge wamenuna tu in short hawajafulahishwa
2026-08-28 13:34:23
0
jackline :
sasa kura za nn wakati ametosha kbsa
2026-08-28 11:01:53
0
Mr_Johnson_FixLab :
ni kapoteza sifa ama kajiuzulu???
2026-08-28 08:39:50
0
makire :
tokea niwe kiziwi sikii nayokera
2026-08-28 10:19:54
0
Micky junior :
Bora Mimi nilizaliwa nchi ya singida 🙌😡
2026-08-28 10:39:38
0
Jøsh Ngêræ :
kupoteza sifa au kaamua mwenyewe😂😂😂😂
2026-08-28 09:53:00
0
alice :
umesikia baada ya chimbi kupoteza Sifa kumbe akujiudhuru aloshinikizwa😳😳😳et
2026-08-28 13:23:39
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.