@emanuel.tesha4: #warda kapendeza Sana #kawanga

Emanuel Tesha
Emanuel Tesha
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 08:36:26 GMT
88877
10074
656
93

Music

Download

Comments

user5680299998521
Jazzy🕊️🕊️ :
Jamani warda ni mzuri sana tuache ujinga
2026-08-29 10:06:31
0
cutymwanja
cutymwanja :
kazuri mashallah
2026-08-28 19:42:43
0
dizomont
🦋FIFI🦋🌸🩷⚖️ :
wooyh 🥹❤️
2026-08-28 19:26:52
53
munty6869
munty :
bado mdogo sana jamn mnaosema aolewe nadhani apate muda wa kusoma kwanza atimize ndoto zake 🥰
2026-08-28 18:17:22
172
zehra16526
🌹🌹zehra :
jaman warda mrembo kuliko wadada wengi wa mjini
2026-08-28 18:47:25
89
613fettyo
fettyommy :
kuna mda na mimi natamani nitoe misaada kwa watu🥲 kama hawa ila sina tu kipato ✍️Mungu awabariki wote mnao jali kuhusu wengine awaongezee mnapo pungukiwa🙏🙏
2026-08-29 02:30:19
35
anifa.hamisi4
It’s naillah collection :
Kwann asimuoe t
2026-08-28 19:27:58
17
user1241860378849
Tausi :
wow 😯😳 mrembo mashallah
2026-08-28 19:11:58
1
fordkingztz
qualityboytz :
Ni muda sasa wa mimi kua na mke😂😂😂
2026-08-28 19:56:14
29
abdillah63441
Abdillah6344 :
hatimae part 2 ime tok
2026-08-28 19:32:25
1
aimcalvenofficial
calven009 :
uyo warda jaman mbn kama ndoto ya kila kijana 😎😎😊
2026-08-28 18:33:32
35
abdullyfurniture273
Mr Dully 🇹🇿1 :
kazuri mashallah 😂😂
2026-08-28 18:20:22
4
nisher225
Miss Bee😍❣️ :
Tulio rudia kuangalia zaidi ya mara mbili tujuane…….. Nimefurahi kumuona warda akiwa anafuraha🥰🥰🥰🤗🤗🤗🤗🤗
2026-08-28 19:20:02
61
swaumu.juma54
zainabu🌹❤️ :
duuh hakun mtu mbaya hap dunia tatizo finishing
2026-08-28 20:20:27
15
user9496993026811
user9496993026811 :
bora umuowe
2026-08-28 13:18:59
7
user3842559327494
officialhusnah :
mashaallah mdg angu nakupenda kwa ajili ya Allah
2026-08-28 19:35:05
13
asha.juma495
aisha💕💕 :
walhi tuach roh mbay warda muzuri🥰🥰
2026-08-28 19:16:45
5
rey.kitchen.ware
rey kitchen ware :
nimesisimka na kulia kwa furaha kaka sina kikubwa ila iko siku nitakushika mkono🙏🥰
2026-08-28 18:23:26
23
a.sqear.j3
A.A.A.J :
WARDA. Alitamani asome afike chuo. amesema anaumia akiwaona wadada wengine wanachuo 🥹😭
2026-08-28 19:23:00
6
user6196614985320
I'm immah :
mwanzo nljua kweli kumbe content 🤣🤣🤣
2026-08-29 03:44:16
3
hadija.mohammed728
Hadija Mohammed :
Yani hapa bando langu nmelitumia vzr kwa kawanga
2026-08-28 22:47:44
4
sarahonesmo79
sari og🦚 :
kazur adilaa jmn🥰🥰🥰
2026-08-28 18:52:18
2
hhjjgg60
hhjjgg6 :
mbona dogo hayupo
2026-08-28 18:43:30
3
To see more videos from user @emanuel.tesha4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About