Mmmmmmm hapa kuna haja ya wenye akili kubwa kutafakari
2026-08-28 14:50:19
1
mjuni03 :
Alikuwa anaheshimiwa sana , Ila hajielewi . Basi serikali inauwezo wa kufukuza muwakirishi wao Kama anajiusisha na siasa .
2026-08-29 18:55:58
0
Fungafunga jr :
Duuuuh
Tutasikia mengi sana
2026-08-29 16:34:52
0
Jeff Moshi :
Na wewe ni fan den na Nani
2026-08-29 11:10:57
0
qis :
ccm kwenye sukari mafuta sgr etc
2026-08-28 19:36:41
0
Omar isa :
Hawa wazee ndio wanajua ukweli wa mambo
2026-08-28 19:45:06
0
Babu kile :
HEEE MZEE VIP MI WA MWISHO KUELEWA🤣🤣
2026-08-28 15:18:10
0
Stephano Samson :
na ccm wafadhiliwa na china
2026-08-28 10:22:32
1
fasbilywanyama0 :
😂😂😂 SHIDA YENU HAMPEMDI KUAMBIWA UKWELI, ALFU MANAHISI KUWA CHADEMA NI MALAIKA SANAA!!
2026-08-28 17:20:37
0
user1687851981600 :
Hili zeee. halifai hata kidogo
2026-08-28 19:42:52
0
Nassoro Mkwanje :
Chadema nao wanapokea rushwa Hivyo wote CCM Chadema wanapokea hela za rushwa
2026-08-28 10:45:57
0
Abuu :
Mzee leo umeamua kunipa elimu ambayo sijawahi ipata
2026-08-28 14:49:48
2
alphoncepatrick5 :
na ccm huwezi sema hataka wanalipwa
2026-08-28 18:13:01
0
Meddie :
Mzee katema nyongo leo, kugundua alikua anachochora,na kajua mipango miovu kwa nchi hii kupitia kauli za kuikomboa nchi, tunataka nchi yetu,kumbe wauza nchi kwa kisingizio Cha kukomboa nchi,mzee kaona mbali.
2026-08-28 18:32:09
0
Konzi Jr :
Huyu ndio mzalendo sasa sio yule mzee wa mikocheni aliyekondeana kwa gongo
2026-08-28 14:35:14
2
Zogo Babalao :
Mbona umechelewa sana kutambua hilo...!! 🤣🤣🤣🤣
Hata watoto wa Kamanda wako huko wakipata shule waje kutalawa Tz baada ya kupata Katiba Mpya ambayo itaruhusu uraia Pachaaaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-28 19:07:12
0
lulemuebrania :
sasa huyuuuuuu anaongea nini
2026-08-28 09:03:05
0
Adamkombo1 :
siu sikuhizi rushwailianza Zaman today ending zenu na nyerere
2026-08-29 05:41:17
0
To see more videos from user @were_one_, please go to the Tikwm
homepage.