@thechanzo: Taifa liko kwenye maombolezo,hakuna uwajibukaji

The Chanzo
The Chanzo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 08:50:15 GMT
15856
822
43
50

Music

Download

Comments

fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-28 13:31:11
1
anafi.omari2
ZONKIZY :
yeah tuteteee mzee
2026-08-28 13:00:42
1
t555dpt
DPT :
mm binafsi yangu siko sawa hadi leo tangu ile oct 29 sijui wezangu😢
2026-08-28 10:42:55
7
user9757558705663
peoples favourite :
mzee angalia wanakuja
2026-08-28 09:58:19
2
idd.othman8
Idd Othman :
mimi mwenyewe nashangaa sasa hiyo tume inachunguza nini?
2026-08-28 10:26:36
3
kaparomzilanyama
NTALE' :
Afadhari wazeee mmeamua kuongea maana vijana tukiongea hakuna wa kututetea
2026-08-28 10:29:52
4
suleimannangigi
Sule 12 :
Prof. Shivji wa Kitivo cha Sheria msomi huyoo mzeee anaongea point tuuu
2026-08-28 15:13:58
0
bainakaigalula
baina kaigalula :
huyu naye siku zote alikuwa wapi?
2026-08-28 15:06:32
0
rabsonmunuo797
Rabson Munuo :
jamani tz nchi,, wazee hawasikilizwi tena ndio maana mambo hayaendi sawa😭
2026-08-28 14:45:46
0
abdulkarim.kalama
Abdulkarim kalama :
sasa wale wazee walioalikwa Ikulu n akina Nani? mbona awa wamechachamaa
2026-08-28 14:57:18
0
neek800
Thepioneerwoman🌹 :
Tanzania iliondoka na Nyerere
2026-08-28 14:02:37
0
seif.kabelele
Seif Kabelele :
KWELI
2026-08-28 10:59:36
0
user7110023581114
user7110023581114 :
Mwenye nchi kasema kwa nj hamkuwazuia watoto wenu wasitoke?, ili hari hata waliokua majumbani walifuatwa kwa nguvu kuchukulliwa. il ipo siku Mungu atajibu haya yote.
2026-08-28 14:41:53
0
mjuni03
mjuni03 :
Mungu tuweke huru
2026-08-28 11:12:41
0
robertkatemi3
Katemi :
wazee wameanza kuona umuhimu wa kuongea.
2026-08-28 11:27:25
0
domingosebobo007
Domingoz Bobo007 :
HAKUNA BIASHARA YA NZURI NA YA KITAPELI KAMA HOSPITAL! KWANZA UNAUZIWA UOGAA, HALAFU UNAAMBIWAA ULIPIEE KABLA YA MATIBABU😂😂😂
2026-08-28 11:38:13
0
user24217480226900
Mwirabucha 24hs :
Jamani ndugu zangu natafuta mbuzi wangu wa kafara au sijui niende mahakani ndiko nitawapata?!!.
2026-08-28 11:00:47
0
mwanawaselemala
Tan seven :
kweli
2026-08-28 10:18:25
0
officialafrican.tz
AfricanTz :
ninikifanyike
2026-08-28 10:45:56
0
user5461011729103
James :
Mungu uwaanaenda mahakamani
2026-08-28 10:34:26
0
meckgodfrey
meckgodfrey :
tuko msibani bado hatujazika mpaka leo mzee wetu inauma sana free tundulisu
2026-08-28 15:17:23
0
hiza36mwaimu
Hiza mwaimu :
we acha tu mzee
2026-08-28 10:48:04
1
isackmoremi
Isack Moremi♐️ :
Wazee kama hawa watunzwe sana✌
2026-08-28 11:53:20
0
user4819887726928
user4819887726928 :
Hawasikii baba acha kiendelee kuwalamba,na Mungu tunaomba waendelee kugombana Viongozi kwa Viongozi kama wale waliojenga mnara wa babeli
2026-08-28 15:07:41
0
mwana.jamii
Mwana Jamii :
🥰🥰🥰Wahindi wa chache ambao x machawa
2026-08-28 09:22:16
0
To see more videos from user @thechanzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About