@embedodotv: Wasukuma hoeeee😂😂😂

embedodo
embedodo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 09:20:38 GMT
708702
40327
997
4210

Music

Download

Comments

mrommy39
Mr ommy :
kumtetea msukuma n kz sana
2026-08-29 03:10:28
338
jenipha.richard8
Jenyrichie :
Afuu ukimzngatia masai vzur n bonge la handsome jaman 🥰🥰🥰
2026-08-29 11:14:39
66
kulwamathiaso
kulwamathias683 :
mm nakuja kuwaungiasha alaf mnanizalilisha mtandaon inauma san
2026-08-29 07:44:01
138
user22117630834073
user22117630834073 :
🤣🤣🤣🤣🤣ila sisi wasukuma niwashamba sana
2026-08-29 04:31:40
49
asiashija1
mom Ismail :
prokutekta kabla langu hoyeeeeee🙌💃💃💃
2026-08-29 11:15:05
29
misslee9962
misslee :
Naitwa magembe muuzaj wa mahadiwea
2026-09-01 12:45:38
11
its.bless703
♐Blexyn♐ :
nyie bana tukishakua na Hela kuongea sio mambo yetu 😂😂😂
2026-08-29 06:48:05
15
bland405
bland :
jamani me nmemuelewa nataka awe mubaba wangu mwanya unanichanganya😁😁😁🤣
2026-08-30 17:30:53
7
officialjaypapy123
officialjaypapy🌹 :
acha kumzalilisha ndugu yangu huyo👊👊🫵
2026-08-28 20:43:56
7
malecha.madoshi
Malecha Madoshi :
ndio maan skuhiz mtu akikutan na msukuma ndo sehem ya kutorea stress tunajua kujiamulia mamb na hatun baya wasukuma oyeee
2026-08-29 08:28:15
7
800frank
FRANK :
iyo Leo hiyoo 😂😂😁
2026-08-28 20:45:47
8
cath53336
walagaa wa baba 👌🏾💕💕 :
hiyoo hat sio rafudhii ya kisukumaaa 😏 haha sio kila kitu ni wasukumaa jmn tupumzisheeeeniiii
2026-08-30 14:12:00
5
lucas.amon09
Mwakata fashion TZ :
Haki ya Mungu sitaludia tena
2026-08-28 21:14:43
8
nkigila
nkigila soleya mdadija :
jamani
2026-09-02 19:25:53
2
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-30 04:41:33
5
stevenluhende732
makudubella :
taifa kubwa
2026-08-29 13:07:25
2
kahar29100
Kahar :
hahahahahahahahaha ngosha ametisha sana Yani hahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 02:32:38
2
user9675344493235
jullianajoh :
wasukuma oyeeee kaaka yangu kwenye ubora wake
2026-09-20 17:36:31
1
user7405265807155
shekhe Ramadhan :
ila wasukuma nine amin hii nchi Niya kwenu
2026-08-29 08:01:13
6
pop.c641
pop c :
kwamba wa shinyangaaaaa apOOo
2026-09-02 16:46:37
1
officialmimi779
Grace💕🦋🦋 :
7/7
2026-08-30 14:37:52
1
28okocha
YN Gunna :
Add comment🤣🤣🤣
2026-08-31 21:56:51
1
user8755468787724
sheni john :
daaa maisha bola nn ivyo unatuaibisha🙏🙏🙏🙏
2026-08-30 17:29:37
1
alanwalker0697
KIM JONG FANS 1 :
nambiya jamani huyu kabila gani ukimjuwa like hapa ❤️❤️🇹🇿
2026-09-15 21:14:41
1
To see more videos from user @embedodotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About