@mahirhassanmbarouk: Allahumma inni as'aluka Husnal Khatimah 🤲 Ee Allah tupe mwisho mwema. Tunaona miji, nyumba, na maisha ya watu...Lakini siku moja yote tutayaacha. Baki ni matendo yetu tu.Ewe mwenyezi Mungu utufanye tuwe miongoni mwa wenye kufa wakiwa katika Imani.🙏🙏😢 #ukumbusho #husnulkhatimah #teamallah #islamicreminder #kilaNafsiItaonjaMauti
Hassan Bin Kishiri 🕌📿
Region: TZ
Friday 28 August 2026 09:22:33 GMT
Music
Download
Comments
Omari Mtiva :
mungu nipe mwisho mwema
2026-08-28 11:15:42
2
Afsheen Rahim :
subuhana Allah ya Rabi tupe mwisho mwema
2026-08-28 11:06:05
3
Mariam Waziri :
allah atupe mwisho mwemaa
2026-08-28 10:37:52
4
hamona :
Allah atupe khatma njema
wallah tukikumbuka mauti 🥺سبحان الله
2026-08-28 17:14:38
1
muu_jr fernandes :
Allah atupe mwisho mwema amiin
2026-08-28 16:22:24
1
rahmahamad378 :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-08-28 14:37:50
1
user69798358195 :
shukran sana mpendwa
2026-08-28 10:38:22
2
amis :
allah atupe mwish mwema
2026-08-28 11:02:58
2
user74393735531460 :
Mtihani mzito Allah atuvushe salama🙏
2026-08-28 11:28:17
2
hawaaomar5 :
Allah atujalie mwisho mwema Ameen
2026-08-28 12:26:00
1
Rashford :
Allah atufanyie wepesi InshaAllah
2026-08-28 16:14:09
1
Ramadhani ally masega :
mwenyezi mungu tupe mwisho mwema
2026-08-28 17:34:30
0
@ meki rayash _Boxing🥊🥊 :
🤝🤝🤝
2026-08-28 10:39:06
2
Mohamed :
😭😭😭
2026-08-28 11:01:26
2
@Mwinyi Ngoni+254 :
😳😳😳
2026-08-28 18:18:45
0
To see more videos from user @mahirhassanmbarouk, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.