@namjua_donbosco: Lakini hii Aleluya Kali. . #namjuadonbosco #frkayettaalleluya

NAMJUA DON BOSCO
NAMJUA DON BOSCO
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 28 August 2026 09:24:49 GMT
17140
839
37
41

Music

Download

Comments

janerose.warren
Warren Genee :
😂😂 hii nmkumbushe kaka yangu kulikuwa na padre maganga alaf Kuna mwanjonde 😂😂😂 unaweza chezea Kofi takatfu
2026-08-28 11:14:53
4
faith.biwott01
Angel❣️❣️📌 :
acha hizo,,chains zifungane😭😭
2026-08-28 11:46:50
1
rose.kulle2
Rose Kulle :
hii inatwa kazin kwa dogo Kuna kaz
2026-08-28 12:07:04
1
rejinaedimund519
regin :
ila
2026-08-28 14:07:10
0
leonard.peter.che
Leonard Peter Chenya :
unajua nimecheka sana
2026-08-28 14:01:30
0
a.n.n.i.e56
Annie🦋❤️ :
Apoo father kama ni mkalii ni mwendo wa nkonzii 😅😅😅🙌
2026-08-28 13:58:26
0
noelapascal707
Noela Pascal :
poleeee
2026-08-28 12:11:03
0
user4816608316378
Richard daughter :
daaaaa namkumbuk best yng maneno consolata kigambon jmn na tukala ekalist tukaambiea kesho tunakufa eote😂😂😂
2026-08-28 13:03:29
0
edson.pilla
Eddy pilla :
chetezo iliwahi changanyikana cheni daa nilito a jasho
2026-08-28 13:55:09
0
waikelinicodemas
Waikelly :
𝙷𝚒𝚒 𝚒𝚕𝚒𝚗𝚒𝚔𝚞𝚖𝚋𝚞𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚋𝚊𝚕𝚒 𝚗𝚒𝚕𝚒𝚏𝚞𝚗𝚐𝚞𝚊 𝚌𝚑𝚎𝚗𝚒 𝚗𝚒𝚔𝚊𝚜𝚒𝚗𝚐𝚒𝚣𝚒𝚊 𝚔𝚒𝚖𝚎𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊😂🤣
2026-08-28 11:37:54
0
timothy.kasubi
Timothy Kasubi :
Kuna chetezo kujilock usiombe😅😅😅
2026-08-28 12:36:17
2
geofrey.george
Geofrey George :
niliwai vua kanzu nikakimbia nyumbani 😂
2026-08-28 13:42:21
0
mrmaziku
vidox Director :
😂😂😂😂 mbal kusema yote uwezi maliza hap
2026-08-28 12:20:58
0
pettyj3
pettyj :
Eeee mbn hatar
2026-08-28 10:04:00
0
agapitiraphaeli
AGAPITI RAPHAELI :
aleluya aleluya
2026-08-28 10:23:58
0
joanitamsagula8
Jam0022 :
yaan mwenyew ilinitoa jasho kwel na wazee wa misa walijua nmefanya uzembe🙆
2026-08-28 12:20:24
0
randomguy_1555
Randomguy✌️ :
😂😂 kama kuna mtumish haijawah mkuta hii hali aje hapa atueleze kwann haikumkuta 😂😂
2026-08-28 12:13:10
0
mitchell25470
💫🔥 Mitchell🦋😻💫 :
😂😂😂imewahi Fanya nikaogopa kurudi ndani
2026-08-28 09:52:41
0
mysticalrose55
Vessel of Devotion 🔥❣️ ❣️ :
huku inabidi ujitetee by Force 😂😂😂
2026-08-28 10:27:49
0
3232cina
Lizzie 🌹 :
kwa nn uchelewe kukoleza😂😂😂
2026-08-28 13:09:43
1
makarangaraulent
its. nyange tz :
kwa mwanza Kuna padre mtema ni hatar hakuna mtumikiaji asiemjua kabisa
2026-08-28 11:40:41
1
isackjoseph04
isackjoseph592 :
Pale kwa wakati wa kumpigia father chetezo nilimkosa nayo ya komwe sijui ingekuje aisee😂😂
2026-08-28 12:12:54
0
ombay.new
Ombay New :
Wangeimba ile Ndg Kauki Kijana asingehangaika hivyo🤣🤣🤣
2026-08-28 10:26:17
1
user7412039585738
kilengele :
weka na tumasago tukavu🤣🤣🤣
2026-08-28 10:48:32
1
benjafinema
benja :
.cheteso Leo imejichanganya
2026-08-28 11:35:03
0
To see more videos from user @namjua_donbosco, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About