Baba huyu amewekwa hai kwa makusudi, ila watu hawajalitambua hilo.
2026-08-28 10:42:29
250
RB -NGUO -NZURI ZA KIKE :
Kitu wasichokijua nchimbi, kanuni kubwa ya Dr Nchimbi "Kuishi kwangu ni kristo kufa ni faida " na sio unafiki
2026-08-28 10:33:26
203
PASTOR THANKYOU ROJAS TZ :
TZ:Uadui ni mwingi, uchawi ni mwingi, fitina ni nyingi, ugomvi ni mwingi, wivu ni mwingi lakini Neema ya Bwana nayo ni nyingi!!! ikufae wewe unayesoma ujumbe huu kwa Jina la Yesu, Utashinda tu🙏💪💪💪💪💪
2026-08-28 11:46:43
280
Amour Seif :
Uozo wa nchi hii huyu mzee ni miongoni mwa waliouasisi
2026-08-28 11:04:41
71
shahdalahdad :
mmmmmmmhh
2026-08-28 17:21:58
0
Prophet Mark Israel :
Tanzania is now a Crime Scene
2026-08-28 12:41:22
5
INTROVERT :
mzee wakati wako Kambona alivyosemq ukweli mlimfanya nini
2026-08-28 11:17:38
37
Smart G :
one life another chance
2026-08-28 11:42:14
1
HASSAN MASSANJA :
Mzee wakati wako Mzee Kambona uliposema ukweli mlimuweka gereza la Butiba zaidi ya 8 bila kumpeleka mahakamani
2026-08-28 10:29:30
23
monii :
natamani uzidi kua hai baba wewe ni mzalendo na tegemeo la watanzania ,,,hakika wewe hujawai kuwa mnafiki in that world🥰
2026-08-28 11:04:02
33
Pshux :
Mzee Mungu amuongezee maisha marefu zaidi
2026-08-28 13:16:07
10
Camera Quotes :
KILA ikitokeaga changamoto kidogo kwenye hii NCHI Sijui kwanini mzee warioba anafuatwa kutoa wazo,,,
2026-08-28 14:28:03
13
user1733854612785 :
mhhhhh!!!!!
2026-08-28 18:18:14
0
Mau Ame :
pumzika baba lea wajukuu wafunze maadili mema waje kuwa viongozi wazuri na kuwaheshimu waliokuwa juu yao hata yeye asingekubali kudharauliwa
2026-08-28 11:16:14
13
@Msukuma wa Mungu🙏🕊🇹🇿 :
warioba NJ mzee pekee alibaki kwa busara
2026-08-28 10:45:44
20
merry ivo ivo :
Baba ni kwa nn awekwe kizuizni??? Yuko salama kweli!!!?? mhuuuu hii Kali ya mwaka,,,Ee Yesu kristo mwana wa nazaleti tulindie Emanuel nchimbi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-28 10:26:20
19
#DMS :
mzee bado unaamini prank tena😂😂😂
2026-08-28 11:08:01
6
sammer :
mzee mungu akulinde kwa nguvu zote amina...
2026-08-28 11:41:56
6
ibradizo :
mzee 🔥
2026-08-28 10:51:55
5
P :
Mungu akulinde babu🙏
2026-08-28 10:36:31
6
mdudu :
mwamba kabsa ni mwaminifu sana juu ya maneno yake amekua ni mkweli mno mno Mungu amsaidie sana ukweli
2026-08-28 10:18:56
8
mbogoro jr :
Mzee nakukubariiiiii
2026-08-28 10:16:57
5
Justine Mramu :
CCM wapo na wafanyabiashara.
2026-08-28 10:25:55
6
Sanya Warioba :
mmmh ila hii hatariii
2026-08-28 10:27:19
5
Katemi :
ccm haifai hata kidogo kuendelea kuitwa chama cha siasa. ni bora kikafutwa. tatizo ni kwamba mwenye mamlaka ya kufuta chama cha siasa amepewa kazi hiyo na ccm. kwa hiyo wenye mamlaka ya kufuta chama hiki ni wananchi wapiga kura kuyataka mataifa kupitia umoja wa mataifa kumtoa rais huyu madarakani kwa sababu mamlaka zilizopo nchini zimefungwa midomo na taasisi ya urais.
2026-08-28 10:40:18
5
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.