@mwakagugu_jr: HATA KAMA UNA AKILI NDOGO KIASI GANI UTAGUNDUA HAWA WATU WALIFANIKIWA KUWADANGANYA NA KUWAUZA WATANGANYIKA, TUKO WAPI LEO WATZ...? . LEO WATETEZI HAWA WANAFANYA NINI...? AGENDA YAO ILIKAMILIKA, SASA WANAONESHA RANGI ZAO HALISI. MENGINE TUMUACHIE MUNGU. R.I.P JPM 😢 #magufuliwasahero #magufuli #tanzania #freelissu #mwakagugu

Mwakagugu 🇹🇿
Mwakagugu 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 09:38:40 GMT
114303
6584
188
100

Music

Download

Comments

masandawana__
masandawana__ :
chanzo cha matatizo yote yanayoendelea nchi hii ni magufuli
2026-08-28 17:06:58
32
nyachy
His LuNA✨ 🌟 :
Jpm my forever and best leader.
2026-08-28 18:51:16
0
mohamedmussa22
Mohamed Mussa :
mbona unapanic magufuli alikuwa muovu sana
2026-08-28 12:20:16
15
tonecruse4
Tone cruse 004 :
Fact big
2026-08-28 19:54:23
0
nyalubega1999
[email protected] :
for sure baabu
2026-08-28 12:29:52
0
40text
𝙞𝙖𝙢_𝘼𝙯 :
Kwani ubaya wake umefutika... Asingekuwa yeye kuuondoa upinzani madarakani hii Nchi ingefika uku mazuri yake yapo na mabaya ya kulicost taifa yapo
2026-08-28 11:54:49
52
ramjey_25
ramjey_25 :
mbona umemsahau mange lisu heche roma
2026-08-28 12:25:46
18
lameck1680
Lameck Raymond :
weeeeeee acha2
2026-08-28 20:22:17
0
user78457038693584
joshua :
fact kaka
2026-08-28 14:32:36
0
123mayaikingoflove
KING OF LOVE :
sema mjomba fuatilia siasaa... ila CCM kuitetee ni ni mtihani sanaaaa...
2026-08-28 11:23:18
14
tumainisanga362
Tsanga mbetswa :
nakumbuka kipindi cha magu nilinunua umeme wa 5000 ulikaa mwaka mzima
2026-08-28 20:49:27
9
royce.ally
Alison :
yote aliyafanya kutufumba macho tusione maovu yake ni sawa lakini leo tunaona alichokipanda ndio tunachokivuna hii bado ni serikali yake usisahau
2026-08-28 12:23:20
7
kasii487
kit .b :
kigogo ni ROSTAM CHIKWETE SAMUYA ZITO NA MKUU WAZIRI HUYU ndo maana humsikii kigogo yale aliyosema POLEPOLE CCM mtandao
2026-08-28 10:39:05
8
fatumamohamed329
Fatuma Mohamed :
huyu baba alinipa ujasiri wa maisha yangu mpaka saa hii
2026-08-28 20:18:04
3
steward997
Stew :
MAGUFULI ALIJARIBU KUMUUA LISSU,,ALIFUNGA SIASA NA VYOMBO VYA HABARI
2026-08-28 20:44:22
2
mrgp63
Mr GP🦅 :
Fact sanaa😁
2026-08-28 21:59:03
1
lyrical_genius100
JOESON 🎶 :
shida ya nchi hii mmegeuza upinzani kuwa uadui badala ya demokrasia inakuwa demoghasia, hasa chama cha milele kinachowaza ni namna ya kubaki madarakani na sio wananchi wanataka nini. magu alidanganywa kwamba upinzani ndo unakwamisha, akawachukia na kuwawinda, guess what waadui zake walikuwa hao hao wa chama chake wanamchora tuu.
2026-08-28 21:59:21
1
user4208833844502
luck B :
wew jamaa umeongea ukweli wa mungu kabsa hawa hawa walitusumbua kipind Cha magufuli na Bado wanaendelea kuwadamganya
2026-08-28 14:27:47
5
user59524329622637
humble girls001 :
iv kigogo yupo?
2026-08-28 18:58:47
0
allykid2
allykid :
kweli magufuli ni mtu katili kaukandamiza upinzani watu wasojulikana lisu kupigwa lisasi kawatowa wapinzani bungeni wakati wake wenyeviti wa vitongoji wenyeviti wa serekali za mitaa aliwapitisha bila ya kupigiwa kura nchi nzima kwa udikteta wake
2026-08-28 17:41:53
1
chamriho.baraka
2026-08-28 12:04:38
2
madevu_gadgets
Madevu_gadgets :
Kosa la mzee wangu alolifany ni kutoa upinzan RIP MZEE
2026-08-28 18:29:55
0
mahmoudmzee825
Mahmoud Mzee :
27000 umeme ilikuwa vijjn tu toka wakati wa kikwete.kuhusu mbowe,ztto na kigogo na chadema kwa ujumla wte wanafiki,hawana uzalendo na nchi yao.
2026-08-28 18:24:35
2
polepoletz
polepoletz :
lissu hujamtaja kwann??
2026-08-28 13:04:48
3
mrromy3
Mr Romy :
magufuli alisemwa sana kwa mabaya mengi na alikuwa anajuwa Kuna watu wanamchafua na aliwambiw watanzani wote Kuna siku mtanikumbuka Leo hii kikowapi mnakumbuka hotuba zake yule baba alifanya kazi mnakumbuka COVID nyie iv nikwamb hamjuw yule mzee amefanya nin kweny hii taifa et kweli nimeamin maandiko ya Biblia (Mathayo 13:57) wakenya walitaman hata angekuwa raisi wao ila Tanzania duh🥺
2026-08-28 20:00:00
1
To see more videos from user @mwakagugu_jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About