@hayatuongee: kwamba wanaume mna Tabia mbaya hivooooo??? #fypage #fyppppppppppppppppppppppp

Kiazi 😆
Kiazi 😆
Open In TikTok:
Region: US
Friday 28 August 2026 09:45:28 GMT
4745
469
44
49

Music

Download

Comments

doriemua
doriemua :
Getting praised for doing their responsibilities
2026-08-28 09:55:21
38
tynnahtannah
tynnahtannah :
Kiazi kina akili hiki💯🙌
2026-08-28 10:56:52
14
lauramushi4
Laura💕 :
hali ni mbaya kwakweli😂😂😂
2026-08-28 09:50:38
8
petrah900
petrah900🇹🇿 :
Lakni ni heri kwakweli..
2026-08-28 13:18:02
3
aunty_bella9
aunty_bella :
Kumsifia mtu ambae ni majukumu yake as your partner
2026-08-28 09:51:49
6
smayra0709
smayra0709 :
Eti jmn😅😅
2026-08-28 10:23:26
1
livuabdul
livuabdul :
Eti polisi 😂😂
2026-08-28 10:01:07
1
dawarda8
DA WARDA💕 :
eh jaman mm naye niko na ww bwana nihaki yake😁😁😁
2026-08-28 09:59:47
1
theresia_kiponda
Teddyk :
dunia ipo kumfavor sana mwanaume
2026-08-28 12:56:37
0
salher70
Salher🌺 :
mi swez mshukuru maana ni wajibu wake😂😂😂
2026-08-28 12:12:51
1
wendyjacobs6
Wendy Jacobs :
Sina huo muda 😂😂😂😂😂😂Yaani sina
2026-08-28 10:08:07
1
user9023224496607
nana :
Kiazi una akili sana natamani nikununulie soda au maji haya madini 👏👏
2026-08-28 14:58:14
1
ladynanah_
ladynanah_ :
tena wengine wanaona ndio mapenzi😂😂😂 wkt ni jukumu lake 🙌
2026-08-28 13:41:36
1
eysha908
Eysha..🍇🥂 :
Wadada wengn wana povuu😂😂ebuu legezenii akili alaf mumsikilize bila hasira anachoongeaa mtaelewaa
2026-08-28 11:06:40
1
wahyder5
❤️wahyder❤️ :
Kuna muda mpaka uelewi mm nikisemaga naambiwa napata dhambi ila yooh elim kwa wanawake imewanyima maneno wates
2026-08-28 11:43:56
1
To see more videos from user @hayatuongee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About