Baada yakugundua amepunguza masiliano nikaamua kumwambia tuachane alichojibu et hayuko tayari kuachika hiyo imekaaje
2026-08-28 15:20:01
9
Deez Essence &Cosmetics :
Silent
2026-08-28 12:30:04
0
Anna Mapunda :
labda niachwe na mama yangu ndo nitalia lakini mtu Baki aise
2026-08-28 19:18:59
7
matolaproduct :
Tena wengi sahv hyo ya njia panda yn mtu anakueka kama chaguo La pili ko akikwambia muachane ataharibu koo anakuacha njia panda Alf ww unakua chaguo La pil
2026-08-28 15:59:09
5
Anie92 :
niulize, vipi yule anakupigia simu sana tu kila siku hawezi kuamka bila kukupigia mchana atakupigia na jioni hawezi kulala bila kukupigia. ila huoni kama ana feelings km mwanzo katika mazungumzo yake. hii nayo ni aina ya kuachwa njia panda au ni nini kipo hapo?
2026-08-28 11:10:59
5
Zaylove public figure 🫦 :
kabisa nimeachwa ivyo 😂😂😂
2026-08-29 07:42:57
0
naymer123 :
mimi njia zote 3 🥹
2026-08-28 20:29:49
0
Loveness Juma :
hiyo aina ya 3 ndoo mm sasa ndoo nafanywa hivo tena ananifanyia hivo na huku nina mimba yake yanai inaumiza sana bola tuu anambie kama kaniacha kuliko kunifanyia hivo anavo nifanyia jaman daaa
2026-08-28 12:26:17
0
Khadija Juma :
Mimi niliachwa kwa kuchuchumaa
2026-08-28 15:24:41
3
kinota_tza :
sahih kabisa Kuna Amani kubwa sana kweny kukubaliana na ukwel
2026-08-28 15:36:59
4
Judy 🥰🥰 :
yote me yamenikuta😳😳
2026-08-28 11:07:50
3
nana :
zote nmeptia
2026-08-28 12:10:07
1
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.