Sasa wengine tu nalala kweny nyumba ya bos nitafanyaje
2026-08-29 05:26:48
28
restusta :
asante
2026-08-28 20:53:47
1
lizzycute♥️ :
mmmm kama natoa matumizi Niko bize na kazi
2026-08-28 17:16:46
14
Joy KE :
bibi hataki nimchukue walai nifanyeje
2026-08-28 17:46:46
8
ney kelvn :
unafikili na penda kukaa mbali na mwanangu apana ila natafuta Kisha naludi Kwa mwanangu
2026-08-29 18:54:41
1
🦋official🦋 zuhura🦋 :
hatupend kuwapeleka kijijini laknn wengne tumezaa na wanaume hawaeleweki na ukiwa na mtoto hap mjin kipata Kaz ni ngumu
2026-08-29 09:37:24
6
cathe :
mm hawatak nimchukuwe sas nifanyej
2026-08-29 07:26:46
2
Faraja :
na ukiishi na mtoto wako mtoto ni baraka huwez kukosa pesa ya kula hata siku moja mtoto ni baraka
2026-08-28 16:40:23
10
JERRIC NATURAL PRODUCTS :
Asantee sana baba mm niliachwa tangu miaka miwil kasoro na mama angu nimeishi na bibi yangu na babu wazazi wangu waliniacha miaka mingi mama yangu simfahamu 😭😭😭 nimamfahamu mama yangu Nikiwa na miaka 25 ndo namuona kwa Mara ya kwanza sinaga Hata mapenz nae baba inaniuma sana baba sijui mapenz ya mama wala baba kwa sasa Nashukuru nimeolewa na Nina watoto wawil napambana kwa ajil Yao nawapenda sana ❤️❤️❤️
2026-08-28 14:47:57
6
user3561770451383 :
fakal mm nakupenda
2026-08-29 08:34:14
2
magreth henry :
Mungu nisaidie nimchukue mwanagu
2026-08-29 08:40:01
2
Rebbeca Monyo :
asante
2026-08-29 04:16:06
1
raymami :
Na kama je kwetu so kijijini 😂😂😂
2026-08-29 05:27:17
2
Vanessa :
awakubali kutupa watoto wetu
2026-08-29 05:15:16
1
ratiffa mwalyaje :
amina me naenda kumchukua
2026-08-28 22:55:32
1
sitty bby 😍🥰 :
Hapo umeongea walai 🤔🤔🥰🥰🥰
2026-08-28 20:50:42
1
Anna Msemwa :
umesema ukwel baba angu
2026-08-29 06:50:54
1
Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇰🇪 :
amen 🙏🙏🙏
2026-08-28 23:31:24
1
mwajuma89 :
kweli kaka
2026-08-28 19:52:30
1
Olivia Wema :
kweri baba umeongea pointin kubwa sana 🙏 mungu atujarie kuishi na watoto wetu