@.newcomer89: Wakati wa MUNGU Ni wakati sahihi sana .. Nvhi kwanza.

.newcomer
.newcomer
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 11:00:10 GMT
171229
7574
119
83

Music

Download

Comments

swallo_on_point92
Jastine swallo :
Ipo siku kila mtz atamzungumzia vizuri huyu jamaa ni suala la muda tu
2026-10-04 14:46:52
2
karimkapijo
Kapijo45 :
Mr deo bab 🥰🥰🥰🥰kazi iendel
2026-10-03 13:14:40
2
alpha_boy434
lùffŷ@😉 :
mungu mkubwa jaman
2026-10-04 12:28:12
2
b128783
B12 :
🙏🙏Kaka mungu akupee moyo huo huo
2026-10-04 06:11:33
2
saitabauemanuel
Ngorongoro 01 :
mungu ameleta magufuli wa pili ubarikiwe sana waziri mkuu[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-03 13:07:57
7
young.shug4
SHABAN :
mkombozi Tanzania na Africa tume mpata
2026-10-04 18:30:08
1
_bibidee_
Bibi dastan :
nampenda makamu wa rais mungu akulinde baba
2026-10-02 04:32:59
2
leon.komba
Leon komba :
ATA KUJIUZULU KWA NCHIMBI MUNGU NDO ALIPANGA,,,IMAGINE ALIWASAHAU WANANCHI YEYE ALIKUWA BIZE NA KUONGEA MAFUMBO,,MARA KATIBA,MARA CIJUI KUTEKWA HUKU AKIJIFUNGIA OFISINI,,HUYU MWAMBA ANAENDA MOJA KWA MOJA KWA WANANCHI,,HAWAKUKOSEA KUMUONDOA NCHIMBI,,,[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-04 17:38:17
1
mussa.bulemela2
Bulemela2 @ ☠️ :
Bora ata wwe Mungu akubariki ivo ivo achana wanaobeza ata ivyo unavyoonyesha Kuna wengine wamekaa serikarini miaka mingi ata ivo hawajawahi kuonyesha endelea kuwapa tumaini watanzani mkuu
2026-10-04 08:10:03
2
calvincalvin2719
calvincalvin2719 :
Sema DEO ni mtu poa sana, labda aje abadilike huko mbele..
2026-08-29 05:33:54
28
wiliamkilisitiani
Anode :
maigizo teyari yamesha anza
2026-08-29 20:25:03
5
nyambuli
. :
Hizi ndio sadaka Mungu anapokea sasa
2026-08-29 10:36:36
9
maulidimasanja
Maulidi Masanja@ :
mtu wawatu safi sana
2026-08-29 07:36:36
6
user1547033168279
Andrea Sengelema :
mwenye movie kama hiz alikuwa magufuli peke yake wengne wanaiga2
2026-08-30 12:37:27
3
user3706279523875
user3706279523875 :
uyuu makamu anaupend
2026-09-20 18:21:16
1
davidkalaghe
David Kalaghe :
Mungu akuongoze siku zote katika Kazi yako.
2026-09-11 18:56:13
1
rehema3037
rehema :
kazi iendeleeee
2026-09-03 03:46:36
1
israeli.jerome
Israeli Jerome :
Jembe 🙏
2026-09-01 19:27:47
1
patiricia.shija
Patiricia Shija :
Hanaga shiga kabisa Mwenyezi Mungu azidi kumuongoza na kumsimamia asibadilike jamani
2026-08-30 11:13:04
3
tanzaniaissafe2
TANZANIAISSAFE :
Deo kaka yangu ,Mungu akubariki
2026-08-31 03:17:06
2
ester.mbutu
Ester Mbutu :
mungu ulikua wapi kutuletea mapema kiongoz kama huyu kila la her kwako mungu akutangulie katk kaz yako 🥰🥰🙏🙏
2026-08-31 06:00:18
4
.gama.mbukwa.au.ni
Gama Mbukwa Au Niite Maiko :
Hongera kiongozi kwa moyo wa upendo mungu akusaidie usije ukabadilika
2026-08-30 02:46:09
4
user4238270581299
ELISHA AUTO FIX :
boss mkubw mahakam wa rais
2026-08-30 13:22:22
1
fyose4
Fyonse Rogers :
asante kaka jana nilipata mtajiii wangu
2026-09-02 11:44:27
1
its_buga26
Bro libra ♎️ :
kwakuwa ni content creator mwenzetu acha tumsapoti 👍👍👍👍👍
2026-08-30 19:29:32
2
To see more videos from user @.newcomer89, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About